Home
Unlabelled
tumetoka mbali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
He kumbe mazoezi ya kucheza mduara ulianza zamani bro?
ReplyDeleteKaka kumbe huko nyuma hukuwa hivi yakhe, ulikuwa smart kweli! usipoangaia hata huko mbeleni utaharibika kaka..
ReplyDeleteMichuzi aliona Sisimizi nanafanya tendo la ndoa,akaamua awapige picha.
ReplyDeletekaka kumbe umetoka mbali sana enzi hizo za black and white kazi kwelikwel,safi sana.
ReplyDeleteDuh...ni kama uko Beiruti au Baghdadi,yaani unakwepa mizinga na risasi za mwamerika!!!
ReplyDeleteduh hiyo kamera ulikuwa unaishikaje?naona mikono imeziba "focus".
ReplyDeleteKaka hapa nywele zilikuwa "ful mziki !"
ReplyDeleteSaa hizi naona nusu mlingoti
mwe afadhali sasa hivi ni zoom kweche...na umri huu kweli ungeweza kujiroll hivyo tena...wangekuwahi wapige picha zote nzuri
ReplyDeleteIdumu technologia
Hapo umeinama vizuri kweli, mikao ya chuma mboga!
ReplyDeleteWote hapo mnasema tu, kama sikosei ni YMCA boogie akiwa anampiga picha SUPA MAKANTINI akitoa show samahani wachache wanamjua huyu mtu.
ReplyDeleteKaka kumbe usanii umeanza zamani...
ReplyDeleteUlikuwa na miaka mingapa hapa michuzi?Hiyo suluari ilikuwa Buga??
ReplyDeleteKaka Michuzi,
ReplyDeletekumbe kupiga CHABO umeanza longi!
Ukipata tenda ya Mombasa kaka, nakushauri usithubutu kabisa mkao huu!
ReplyDelete