asante mdau iceland kwa kuniletea snepu hili la enzi hizo. sikumbuki ilinipiga wapi na nilikuwa nafanya nini maana mambo kama haya yalikuwa kibao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. He kumbe mazoezi ya kucheza mduara ulianza zamani bro?

    ReplyDelete
  2. Kaka kumbe huko nyuma hukuwa hivi yakhe, ulikuwa smart kweli! usipoangaia hata huko mbeleni utaharibika kaka..

    ReplyDelete
  3. Michuzi aliona Sisimizi nanafanya tendo la ndoa,akaamua awapige picha.

    ReplyDelete
  4. kaka kumbe umetoka mbali sana enzi hizo za black and white kazi kwelikwel,safi sana.

    ReplyDelete
  5. Duh...ni kama uko Beiruti au Baghdadi,yaani unakwepa mizinga na risasi za mwamerika!!!

    ReplyDelete
  6. duh hiyo kamera ulikuwa unaishikaje?naona mikono imeziba "focus".

    ReplyDelete
  7. Kaka hapa nywele zilikuwa "ful mziki !"
    Saa hizi naona nusu mlingoti

    ReplyDelete
  8. mwe afadhali sasa hivi ni zoom kweche...na umri huu kweli ungeweza kujiroll hivyo tena...wangekuwahi wapige picha zote nzuri

    Idumu technologia

    ReplyDelete
  9. Hapo umeinama vizuri kweli, mikao ya chuma mboga!

    ReplyDelete
  10. Wote hapo mnasema tu, kama sikosei ni YMCA boogie akiwa anampiga picha SUPA MAKANTINI akitoa show samahani wachache wanamjua huyu mtu.

    ReplyDelete
  11. Kaka kumbe usanii umeanza zamani...

    ReplyDelete
  12. Ulikuwa na miaka mingapa hapa michuzi?Hiyo suluari ilikuwa Buga??

    ReplyDelete
  13. Kaka Michuzi,
    kumbe kupiga CHABO umeanza longi!

    ReplyDelete
  14. Ukipata tenda ya Mombasa kaka, nakushauri usithubutu kabisa mkao huu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...