wajukuu wa babu njenje na mama yao wakitoa salamu za maulid na paska kwa babu yao mabrouk khamis a.k.a babu njenje pamoja na wadau wote wa globu hii ya jamii popote walipo. wanamuuliza babu yao ni lini njenje wataenda kutumbuiza ukerewe? na je atakuja na lexus yake? na je new msasani club walipohamia panatosha kwa jinsi wapenzi wa njenje walivyo wengi?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. asanteni watoto mmependeza na mama yenu pia, lkn hayo maswali nawashauri mumpigie simu babu atawajibu tuu, i hope mna namba yake ya simu, pasaka njema.

    ReplyDelete
  2. Jamani huyo mama yao ni Nzeba au wamefanana?Mnamjua jina MAMA wa watoto tafadhali tuambiane,kwani tunamtafuta sana ndugu yetu Nzeba,asanteni watu wa blogi hii kwa msaada huu.

    ReplyDelete
  3. Naona watoto wametoka na sare sare maua utafikiri wako samvula chole

    ReplyDelete
  4. huyo kati babu njenje mtupu!! safi sana matokeo ya dna hayo.

    ReplyDelete
  5. Anonymous Sunday, March 23, 2008 7:04:00 PM EAT
    Huyo mama yao anaitwa LULU, anakaa Brighton ( UK).

    NICE PICTURE, CUTE FAMILY

    ReplyDelete
  6. hey, ni furaha kuona watoto wamekuwa, huyo ni lulu mabrouk, wa tanga enzi hizo pale computer place nimesahau jina, sijui wapo nchi gani, lakini hongereni zenu, watoto wamekuwa na wamependeza!!

    ReplyDelete
  7. Mama Lulu, mambo ya blatchington road hayo, wape hi george street.

    ReplyDelete
  8. Na baba wa watoto yuko wapi?chibiriti ngoma nyingine hiyooo...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...