JUST FOR MEN PRODUCTS FROM CANADA AND USA
Tunawataarifu kuwa tuna bidhaa MBALIMBALI za umaridadi za wanaume kwa bei NAFUU KABISA kama vile:
Perfume
Poda za kunyolea (bila kutumia wembe au mashine) hii ni nzuri zaidi kwa wanaotokwa na upele wakinyolea wembe au mashine.
After shave
Deodorants

mojawapo ya deodorants ikiwa ni hiyo inayotangazwa hapa chini:
Kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kupata bidhaa hizo hapa Dar wasiliana na
Rose @ 0784-521171
au tuma email deodorants123@yahoo.com
Watumiaji wa Old Spice ni maajuza. Lazima uwe umekula chumvi nyingi kama wewe ni mtumiaji wa hii kitu.
ReplyDeleteTatizo moja kubwa ni kwamba product nyingi ambazo zinaletwa hapa nyumbani kutoka ulaya ambazo hazikutengenezwa kwa matumizi ya watu weusi inakuwa vigumu kupata matakeo kama yanayo daiwa na mletaji,si hivyo tu jua nalo ni tatizo sana katika vipodozi na ngozi kwa ujumla kitu ambacho waletaji hawa tilii maanani. hivyo waletaji wengi wanaleta product ambazo zinafaa kwa wazungu.
ReplyDeletesikataii kwamba ulaya hakuna product za watu weusi , zipo isipo kuwa lazima uchague sasa iwapo utanunua kwenye clearance una uchota kila kitu..
mdau