Home
Unlabelled
jongwe la kike
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jongwe maana yake nini? Ni kiswahili au lugha gani?
ReplyDeleteNa limetuletea kizaha zaha kweli na style yake ya nyele ya utajiju IoI
ReplyDeleteLondoner
unamaana gani ulivyosema kachafua hali ya hewa?
ReplyDeleteLakini message sent and delivered. Najua Shein kaisoma na "it is understood". Mwanamke wa shoka! Looooooooh, tukipata 1,000,000 tu Tanzania yatakemea FISADIS na watatokomea. Jongweeeeeeee!
ReplyDeleteLAKINI UJUMBE SI UMEFIKA?AU?
ReplyDeleteee bwana naona sasa Taasisi ya kiswahili pale Mlimani imezidi kutowashirikisha wazanzibari wenye lugha yao katika kutengeneza misamiati. Hii italeta viswahili viwili siku za mbele kama nilivyokishawahi kusema siku za nyuma. Baada ya muafaka wa siasa tutakua na muafaka wa lugha ya kiswahili
ReplyDeleteNaomba niwekewe wazi maana Ya 'Jongwe' na pia alichafua hali ya hewa kivipi hii picha haina maelezo ya kutosha,alijamba au?
Am confused
ReplyDeleteTanzania tunao usemi wa kwamba Tanzania haitakuwa huru hadi Africa nzima imekuwa huru, nadhani huyu dada nia yake ni kuona Tanzania ni moja mwanachama wa SADC na amlengo ya SADC ni "objectives include regional economic integration, poverty alleviation, harmonization and rationalization of policies, and strategies for sustainable development in all areas" Sasa kwa nini na yeye asiweze kuleta matatizo yake ili tuchangie.
Tatizo ni kwamba siasa na itikadi katika nchi za africa ni kiini macho tu, watu wanalindana, tumeona kuanzia KENYA,sasa ZIM, baadaye RSA .
Dr Confusion
jongwe ndio nini ?
ReplyDeleteEti jongwe la kike linachafua hewa!! HUYO MWANAMKE NI SHUPAVU NA SIO MUOGA WALA KICHWA CHA MWENDAWAZIMU KAMA SISI WATANZANIA TUNAVYOOGOPA KUHOJI HADHARANI MAOVU YA VIONGOZI WETU NA NDIO MAANA WANATUKEJELI KWA KUITA DOLLAR MILLION MOJA VIJISENTI KWA SABABU WANAJUA WATU WANAOWAONGOZA NI WA HAINA GANI.MIE NAMPOKEZA HUYO MAMA KAJARIBU KUTUMA UJUMBE NA UMEFIKA.
ReplyDeletealichafu hali ya hewa kivipi, jee ALIPUMUA au alisema ovyo mbona nawe kwa vijimafumbo michuuuuuu, tuweke wazi sentensi inahang hiyo!!!
ReplyDeletesalaam aleykum bro michuzi tufafanulie tafadhali jongwe limefanya nini....
ReplyDeleteoyaa diaspora ndio nini? huu mkutano unahusu nini?
ReplyDeleteEbo Michuzi, hebu tuelezee vizuri. Jongwe ndo nini?
ReplyDeleteHalafu una maana alijamba, mdomo wake ulikuwa unanuka au alikuwa na kikwapa?
Nadhani alikuja kubahatisha kama ataambulia vijisente vya mafisadi
ReplyDeleteHuyo ni mama shujaa ,I wish angeongezea hoja ya mafisadi tanzania.
ReplyDeleteCCM LAAANA YA MUNGU ITAWAPATA KWA KULA JASHO LA WALALA HOI.
DAMU YA YESU HAIKUMWAGIKA BURE.
mwanamke washoka nathani ujumbe umefika naomba viongozi wetu wa kiafrika waache mambo yakukumbatiana MUGABE kaaribu nchi sasa anasingizia wazungu hata ningikuwa mimi mambo yanoyo fanyika zimbabwe ningejitokeza kuutoa ujumbe na rais wetu MHE J KIKWETE kama mwenyekiti wa AU anatakiwa kuingilia kati suwala hili
ReplyDeleteHey Michuzi what u mean by JONGWEA? plus we need to know more about DIASPORA, is it an organisation? And if it is, what its purpose, mission or vision with Tanzania. Maana these days watu wanaibuka na mbinu mpya kufilisi nchi yetu. More explanation will be helpfully bro Michuzi.....Thanks
ReplyDeleteMdau T-Dot
jamani kwani hamjui jongwe la kila siku ni mugabe? basi jongwe la kike ni mke wa mugabe mbona mna vichwa ngumu? ndio hayo mambo ya rais wa kwanza wa kenya anaitwa kenyata je rais wa kwanza wa tanzania ataitwa nani mtasema tanzaniata! kha wadau
ReplyDeletewatanzania tuko nyuma ktk mambo mengi miongoni mwao ni ku speak for our rights! sioni sababu ya ku report habari ya huyu dada kama vile kafanya kitu kisicho na maana kabisa! msg yake imefika! si rahisi kumpata mtanzania atakae weza fanya kitu kama hicho! why? cowardice!! we need to learn to speak up!!
ReplyDeleteJamani Wadau, maana ya Jongwe nayoilewa mimi ni Jogoo na ni alama ya chama cha ZANU-PF, labda Bro Michu alitaka kututanabahisha kuwa huyu dada atokea nchi hiyo !!..Sijui atutegulie...uchafuzi huo niwa aina gani ?! Tukupe mji Kaka...?!!
ReplyDeleteZimbabwe, JONGWE ni JOGOO!
ReplyDeleteIngawa njia aliyotumia sio sahihi, lakini ujumbe wake umefika, jamani mkumbuke kwamba JK ni nani Afrika. Halafu nchi yetu inasifika kwa amani kwa hiyo ametumia fursa hiyo ya diaspora kwa sababu hana njia nyingine
ReplyDeleteHata mimi hii picha sijaeilewa japo huwa wanasema picha inazungumnza zaidi ya maneno elfu Moja pia mmeongezea na maelezo ndio kabisa nakutana na Mambo ya Jongwe sijui na Huo Mkutano sijui Ziporaa Duhh mi naona kama jina la Kinaijeria Fafanuwa Bro Michuzii Najuwa utajibu labda kama na wewe utakuwa Unavijisent basi hutatiliaa manani
ReplyDeletejongwe ni jogoo, mugabe ndio huwa wanamuita jongwe (jogoo). Kuchafua hewa ni kuharibu amani kwa ninavyoelewa mimi
ReplyDeleteKweli wadau hata mimi ningependa kujua nini maana ya diaspora
ReplyDeleteHUYU DADA NAMPONGEZA KWA USHUPAVU WAKE.TUNAHITAJI WATU KAMA HAWA HAPA TZ.WATAKAOSIMAMA KIDETE NA KUWAKEMEA MAFISADI WANAOIBA SH.1.BILION HALAFU WAKIULIZWA WANASEMA KWAMBA HIVI NI VIJISENTI TU.
ReplyDeleteMwanamke wa shoka huyo..... watanzania wangapi wana guts za kufanya hivyo...... kikwete amekalia kimya swala Zim na inatia aibu. You go gal
ReplyDeleteJamani naomba kueleweshwa maana ya jonhwe, na kama ni kitendo cha huyo dada kuyapaka mafisadi hadharani shida nini? au kwa vile nyie mnaejoy huduma nzuri huko london, tumechoshwa na mafisadi. Cha ajabu serikali haitaki kufadhili watu school of law iliyoanzaishwa mwaka huu, sijui wanafikiri wazazi wetu pia ni mafisadi hadi waweze kulipa hiyo milioni moja na nusu ya ada.
ReplyDeleteVena, Arusha
Huyo atakuwa katumwa na JamboForums. Heheehheeee, hheee! Haya JF member wenu huyo, sio Jongwe wala nini!
ReplyDeleteJamani tukumbuke leo kwa mwenzio kesho kwako, naona watu mmelala hii kitu inasogea kidogo kidogo Tanzania, kama majirani zako hawako salama ujue na wewe hauko salama.Jaribuni kufikiria siyo kukashifu.
ReplyDeleteEH MUNGU TUNAKUOMBA UTUONDOLEE GONJWA HILI LA UJINGA SISI WATANZANIA.YANI HUYU MAMA KAENDA KULILIA HAKI KWENYE NCHI YAKE KWA WATU AMBAO RAISI WAO NDIO MWENYEKITI WA AU ANAONEKANA PUMBAVU,WAKATI KUNA JIBABA ZIMA LA KITANZANIA TAMBI KUBWA LINASHINDWA KUHOJI MABILIONI YANAYOTOWEKA NCHINI MWAKE.
ReplyDeleteHUYO MAMA ANAJUWA HAKI YAKE NA ANATAMBUA THAMANI YAKE KWA UJUMLA NI SHUPAVU NA JASIRI ! NA ANASTAILI PONGEZI KWA KUTHUBUTU KUWAKILISHA MATATIZO YA KWAO ! NASI TUIGE MFANO WA WENZETU AU TUSUBIRI MPAKA TUUZWEE KABISA !
ReplyDeleteMzushi
Jamani Wadau wa Blog,
ReplyDeleteDiaspora kwa tafsiri rahisi ni Mtawanyiko wa watu, kutoka kwenye nchi yao halisi na kutapakaa sehemu nyingine. Hivyo jumuiya inayoundwa na watu wa ainahii huko waliko ina fahamika kama Diaspora. Neno hili lina asili ya kigiriki "Diaspeirein" meaning to spread apart. Pia neno hili lina husishwa na Wayahudi walokuwapo nje ya Israel kuanzia Karne ya sita(6) kabla ya yesu kuzaliwa, wakati walipokuwa ukimbizini Babiloni.
Hivyo kwa Afrika..."African Diaspora" hata AU imeelezea kwamba ni watu wa Afrika, wenye asili ya Afrika ambao wanaishi nje ya Bara hili, bila ya kujali uraia wao au utaifa wao, ambao wako tayari kuchangia katika kuleta maendeleo ya bara la Afrika na kujenga Umoja wa Afrika. ...na ndio maana na Wazimbabwe walikuwemo.
Naishia hapo Wadau
watanzania wenzangu huyu dada ni shujaa watanzania tungeiga mfano huu ni kama kuwahazarisha mafisadi wabongo bado tuko nyuma kulalia vibatari na kutoa majina ya kubeza wenzetu wakati sisi ndio tunamatatizo na tunaitwa washambo kwa kuogopa kusema ukweli hazarani mr michuzi naomba usinibanie ukweli huu ni kwamba wabongo maneno mengi kusema ukweli twaogopa huyo dada ni shujaa na kumbukeni wabongo mtakuwa next .tusicheke wenzetu wala kuwabeza ndio maana tumezoea kuliwa na wakubwa zetu wazimbabwe tuwaombeeni mungu na tuchukue mfano toka kwao ni kipindi cha kusikilizana na kusaidiana tukiwa wote ni waafrica mimi ni mpenda amani na nawapenda waafrica wote walio duniani kwani wote tunateseka same mugabe aondoke na ni amesha changanyikiwa miaka tisini alivyoiba havitoshi tuu.
ReplyDeleteSINA UHAKIKA LAKINI NENO JONGWE HAPA NAONA LIMETUMIKA KAMA VILE NANO KINGUNGE AU VINGUNGE TOKA TANZANIA. INAWEZAKUA KINGUNGE RASHIDI KAWAWA. KINGUNGE SALIM AHMED SALIM OSV...... HII. HI.
ReplyDeleteDu! Nimem-mind huyu dada ushupavu wake! Hongera Jongwee! :) keep it Up dada! inafurahishwa kuwa uliwachafulia hewa kwa ujasiri wako wa kusema ukweli na ukwaacha hoi hata wakakumind! Hasa kwa kuwa ni mwanamke, mwanamama! Du..umeni-inspire sana sis!Inatia moyo kuona katika blog hii at least ameongelewa mwanamke kwa mtazamo chanya...kwani tumechoka kusikia wanawake wakisagiwa humu ndani katika blog hii inayoonekana ina mtazamo dume! wanawake wanasakamwa tu hata wakijitokeza kwa wema. watanzania acheni mambo ya zamani, inabidi mkubali sasa wanawake nao wana nafasi!Kaka michu nipe basi email yake nataka niwasiliane naye mwenyewe!
ReplyDeletefemenist no.1
Hili ni funzo kwa watanzania,na tabia za kubabaikia watu kwa kuwapa
ReplyDeletemialiko ya kuudhuria mikutanoni!
SASA HUYU BINT KWELI ALIVYOVAA japokuwa huko ulaya mna uhuru wa mavazi!lakini kweli kwenye mkutano kama huo!?hilkuwaje walinzi walimpisha getini kuingia mkutanoni!Jamani huku kubabaikia watu mtawalika mamluki