Home
Unlabelled
juma pondamali mensah
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
vijana wa siku hizi wamejaaliwa kuchezea viatu vya mpira, Enzi zetu tulikua tunachezea chachacha.
ReplyDeleteMIMI NASUBIRI KUONA HAYO MATUNDA YA SOKA AKADEMIZ HIZI. MAANA TZ BWANA......!
ReplyDeletemnyonge mnyongeni lakini kwenye hili la kuendeleza soccer we are in the right track, msisitizo kwenye timu za vijana ni mzuri sana na matunda yatafuata hapo baadae, HONGERA SAAAAAAAAAAANA RAISI JAKAYA KIKWETE. hizi ni juhudi zako na tunaziona ila kaza kamba kidogo kwa rafiki zetu mafisadi.
ReplyDeletewalikotokea Adolf na pondamali ni kwenye timu za vijana kama hizo mpaka kufikia ngazi ya kimataifa,mchango wao ni muhimu naamini tuta fika pia,mashindano ya shule za msingi na sekondari(umiseta)yarudishwe na viwanja vya jangwani kama bado avijauzwa vifanyiwe matengenezo kwa muonekano ule wa zamani tutafika tu.
ReplyDeletepesa na muda mwingi unatumika kuendeleza vipaji vya mpira na urembo.
ReplyDeleteWatanzania tuelekeze nguvu zetu zote kwenye elimu, haswa sayansi na teknolojia.
India,China,Japan,na Brazil, zinaogopeka kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia. siyo cricket,ping-pong,sumo, au football.
wewe unaedai kwmba pesa na muda mwingi unatumika ktk soka, tuambie wewe binafsi umetumia $$ ngapi so far, na umetumia muda kiasi gani ktk soccer ?
ReplyDeleteHalafu utuambie wizara inayohusika na michezo imetoa kiasi gani ktk kuandaa mechi hii .
mbwegelembwegele,
ReplyDeleteusinishambulie binafsi, shambulia hoja yangu.
hoja yangu ni hii: hakuna taifa lililopata maendeleo ya watu kwa kuelekeza nguvu na rasilimali zake ktk michezo na mashindano ya urembo.
tuelekeze muda na rasilimali zetu katika kuendeleza elimu ya watoto wetu. elimu ya ufundi,hisabati,teknolojia, na lugha.
tuige mfano wa India,Uchina,Taiwan,Malaysia,Singapore,Japan,South Korea. haya ni mataifa yenye nguvu kwasababu yamezingatia mambo hayo niliyoyaelekeza hapo juu.