Home
Unlabelled
mohamed rishard adolph
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi kusema mbrazili ndo inaonyesha kiwango cha ufahamu na ubora kocha? mnaboa na kutaja utaifa wa makocha, mbona wakati kina Mziray wanafundisha mlikuwa hamsemi Mtanzania Mziray? au Mhehe Jamhuri Kihwelo? sijui huo ni ufala au woga wa watu kutoka nje ya nchi? Hii inakuwa kama fisadi hata mwzi wa kuku waandishi wanamwita fisadi.
ReplyDeleteMDAU JUU MBONA UNAMAINDI VITU VIDOGO? NIKAWAIDA WATU KUTOKA MATAIFA MENGINE KUTAJWA TAIFA LAO.SIO WAANDISHI WA KITANZANIA BALI DUNIANI KOTE.FOCUS KWENYE PICHA MDAU SIUNAMUONA HAPO VETERANI ADOLPH RISHARD HAU UKUMBUKI ENZI ZAKE?
ReplyDeleteMi ananifurahisha Leodgar Tenga,wadau wenzake wengi japo si wote anawakumbuka na kuwapa vibarua.Hao ndio wenye mpira wao wanajua nini soka la vijana kwa kua wameanzia chini wakiwa Yanga
ReplyDeletePan African Ndio Club Kubwa Kuliko simba na Yanga Kwaherini au michuzi unanikatalia. Ikitoka Pan African ni Simba Then Zengine MWisho Yanga.
ReplyDeletekuna timu ilikuwa inaitwa COSMO. pia walikuwa na winga 11 wao anaitwa KATINKO.
ReplyDeletemichuzi tuletee picha za COSMO na NYOTA NYEKUNDU.
"Yanga Imara, Simba Kipara, Cosmo Kahara."