
Fotobaraza ni jamii ya wapenda picha na wapenda soga, wazungumzao Kiswahili, waliosambaa ulimwenguni mwote. Jamii inaunganishwa na tovuti ya fotobaraza. Ili kujua zaidi na hata kujiunga kwenye baraza hili maridhawa lililobuniwa na mdau bob sankofa bofya hapa
Aidha nampongeza Bob kwa ubunifu wake wa kuanzisha baraza kama hili ambalo nina uhakika litakua na kuwa moja la kiunganishi kikukuu cha wazungumza Kiswahili kila kona duniani. Hatua hii ni ya kusisimua na kutia moyo hasa ukizingatia watumiaji lugha ya Kiswahili sio wengi katika kutumia mtandao katika mawasiliano.
Picha hii ni mojawapo ya picha zilizomo katika fotobaraza ambayo ndiyo iliyochaguliwa kuwa ya kwanza kutokea katika 'picha ya wiki'


DADA MIWANI IMEKUFANYA UZIDI KUTISHA ZAIDI UMEKUWA KAMA VILE DUME LA FISI
ReplyDeleteRobby.....luking gud as always
ReplyDeleteWe Anonymous wa 9:11am hapo juu - how uncivilised can one be? Sijui umezaliwa au umekulia wapi - but good manners ni moja ya basics na kuheshimu binadamu wenzio naturally falls into that category.
ReplyDeletemmmmh ndio picha ya week??/kazi kweli kweli
ReplyDeleteMutu Mukulu!
ReplyDeleteDada umependeza wabeba box kazi yao kila kitu kukosoa tu. Wenyewe waweke picha zao hapa tuone. Wengine tunawajua hawatazamiki. Wamepauka kinyama. Waulize ngozi laini hiyo wanayo?
ReplyDeleteKifuani huyu dada anarusha roho, naamini hata mapajani atakuwa komesha, tatizo ni huu uso! Sijui Mkenya huyu?
ReplyDeletekutoa comment hakuna ubaya kusema ukweli miwani haijampendeza hata kidogo.pose ni nzuri na picha sio mbaya
ReplyDeletedada mie maziwa yako yaneniacha hoi
ReplyDeleteShe look gud jamani acheni wivu! lol weka ya kwako kama unahizo confidence!
ReplyDeleteUzuri gani, acheni fix. Hujapendeza kabisa.
ReplyDeleteharusi ya mrembo huyu wa wiki
ReplyDeletehttp://photos1.blogger.com/blogger/3812/1569/1600/m5.0.jpg
Mhnn hakuna haja ya kuwa mdumila kuwili,ni vizuri kuwa mkweli ili kumsaidia mtu/mdau.Ukweli ni kuwa huyu dada hajapenda,anahitaji kipodozi zaidi pengine na ushauri wa ki-moddelling...!!!,Ili siku nyingine akitoa picha yake hapa "Ituguse"........!!!!!!!!
ReplyDeleteHuyu dada mi nimempenda kwa kweli, midomo yake mizuri, kifua chake moto, na ninajua mapaja yatakuwa ni balaa! I guess hata macho yatakuwa mazuri tu ila alichoharibu huyu dada yangu ni kuvaa hiyo miwani mikubwa kama ya mafundi wanaochomelea vyuma( mafundi welding). Otherwise you are hot! my sister!
ReplyDeletesaa ingine kuoneana aibu na kupeana sifa za uwongo sio fresh!
ReplyDeleteNimeitembelea hiyo saiti ni kituko tuu!
Yaani hata haieleweki ni kitu gani!
KWA MAONI YANGU MIMI NAONA AMECHANGANYA RANGI( RANGI HAZISHIRIKIANI)HAKUMECHISHA
ReplyDeletekusema kweli sura yake ni chachu.....but siyo makosa yake
ReplyDeletehuyu atakuwa mkenya au muwest Africa..Bongo hatuna wanawake wabaya hivyo..
ReplyDeleteRobbi...My girl...wivu tu hawa watu ...u look good mami ...hawakuwezi hao wanaokusema vibaya...wajinyonge tu
ReplyDeleteaaaahhh cheki begi la maua maua huyu mkenya jamani .Wabongo hatuna uvaaji wa kimazei hivi
ReplyDeleteHuyu dada ni bomba sana. hamja muona tu live. Mrefu, rangi na ngozi nzuri, reception bomba sana labda ni hiyo miwani tu. Na pia yuko very stylish. Na ni mbongo wala si mkenya. Wabeba maboksi mliopauka na baridi wekeni picha zenu tuwaone.
ReplyDeleteacheni ushamba kumechisha kumepitwa na wakati.
ReplyDelete