Fotobaraza ni jamii ya wapenda picha na wapenda soga, wazungumzao Kiswahili, waliosambaa ulimwenguni mwote. Jamii inaunganishwa na tovuti ya fotobaraza. Ili kujua zaidi na hata kujiunga kwenye baraza hili maridhawa lililobuniwa na mdau bob sankofa bofya hapa


Aidha nampongeza Bob kwa ubunifu wake wa kuanzisha baraza kama hili ambalo nina uhakika litakua na kuwa moja la kiunganishi kikukuu cha wazungumza Kiswahili kila kona duniani. Hatua hii ni ya kusisimua na kutia moyo hasa ukizingatia watumiaji lugha ya Kiswahili sio wengi katika kutumia mtandao katika mawasiliano.
Picha hii ni mojawapo ya picha zilizomo katika fotobaraza ambayo ndiyo iliyochaguliwa kuwa ya kwanza kutokea katika 'picha ya wiki'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. DADA MIWANI IMEKUFANYA UZIDI KUTISHA ZAIDI UMEKUWA KAMA VILE DUME LA FISI

    ReplyDelete
  2. Robby.....luking gud as always

    ReplyDelete
  3. We Anonymous wa 9:11am hapo juu - how uncivilised can one be? Sijui umezaliwa au umekulia wapi - but good manners ni moja ya basics na kuheshimu binadamu wenzio naturally falls into that category.

    ReplyDelete
  4. mmmmh ndio picha ya week??/kazi kweli kweli

    ReplyDelete
  5. Mutu Mukulu!

    ReplyDelete
  6. Dada umependeza wabeba box kazi yao kila kitu kukosoa tu. Wenyewe waweke picha zao hapa tuone. Wengine tunawajua hawatazamiki. Wamepauka kinyama. Waulize ngozi laini hiyo wanayo?

    ReplyDelete
  7. Kifuani huyu dada anarusha roho, naamini hata mapajani atakuwa komesha, tatizo ni huu uso! Sijui Mkenya huyu?

    ReplyDelete
  8. kutoa comment hakuna ubaya kusema ukweli miwani haijampendeza hata kidogo.pose ni nzuri na picha sio mbaya

    ReplyDelete
  9. dada mie maziwa yako yaneniacha hoi

    ReplyDelete
  10. She look gud jamani acheni wivu! lol weka ya kwako kama unahizo confidence!

    ReplyDelete
  11. Uzuri gani, acheni fix. Hujapendeza kabisa.

    ReplyDelete
  12. harusi ya mrembo huyu wa wiki
    http://photos1.blogger.com/blogger/3812/1569/1600/m5.0.jpg

    ReplyDelete
  13. Mhnn hakuna haja ya kuwa mdumila kuwili,ni vizuri kuwa mkweli ili kumsaidia mtu/mdau.Ukweli ni kuwa huyu dada hajapenda,anahitaji kipodozi zaidi pengine na ushauri wa ki-moddelling...!!!,Ili siku nyingine akitoa picha yake hapa "Ituguse"........!!!!!!!!

    ReplyDelete
  14. Huyu dada mi nimempenda kwa kweli, midomo yake mizuri, kifua chake moto, na ninajua mapaja yatakuwa ni balaa! I guess hata macho yatakuwa mazuri tu ila alichoharibu huyu dada yangu ni kuvaa hiyo miwani mikubwa kama ya mafundi wanaochomelea vyuma( mafundi welding). Otherwise you are hot! my sister!

    ReplyDelete
  15. saa ingine kuoneana aibu na kupeana sifa za uwongo sio fresh!
    Nimeitembelea hiyo saiti ni kituko tuu!
    Yaani hata haieleweki ni kitu gani!

    ReplyDelete
  16. KWA MAONI YANGU MIMI NAONA AMECHANGANYA RANGI( RANGI HAZISHIRIKIANI)HAKUMECHISHA

    ReplyDelete
  17. kusema kweli sura yake ni chachu.....but siyo makosa yake

    ReplyDelete
  18. huyu atakuwa mkenya au muwest Africa..Bongo hatuna wanawake wabaya hivyo..

    ReplyDelete
  19. Robbi...My girl...wivu tu hawa watu ...u look good mami ...hawakuwezi hao wanaokusema vibaya...wajinyonge tu

    ReplyDelete
  20. aaaahhh cheki begi la maua maua huyu mkenya jamani .Wabongo hatuna uvaaji wa kimazei hivi

    ReplyDelete
  21. Huyu dada ni bomba sana. hamja muona tu live. Mrefu, rangi na ngozi nzuri, reception bomba sana labda ni hiyo miwani tu. Na pia yuko very stylish. Na ni mbongo wala si mkenya. Wabeba maboksi mliopauka na baridi wekeni picha zenu tuwaone.

    ReplyDelete
  22. acheni ushamba kumechisha kumepitwa na wakati.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...