kepteni wa zamani wa taifa staaz na pan african mohamed adolph rishard (bukta nyekundu) akimsaidia kocha wa timu ya taifa ya vijana mbrazil marcos tinoco kuionoa timu hiyo. hii ilikuwa leo jioni wakati kikosi hicho kilipocheza mechi ya mazoezi na timu ya mchanganyiko ya chama cha akademia za kandanda za vijana leo uwanja wa karume

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hivi kusema mbrazili ndo inaonyesha kiwango cha ufahamu na ubora kocha? mnaboa na kutaja utaifa wa makocha, mbona wakati kina Mziray wanafundisha mlikuwa hamsemi Mtanzania Mziray? au Mhehe Jamhuri Kihwelo? sijui huo ni ufala au woga wa watu kutoka nje ya nchi? Hii inakuwa kama fisadi hata mwzi wa kuku waandishi wanamwita fisadi.

    ReplyDelete
  2. MDAU JUU MBONA UNAMAINDI VITU VIDOGO? NIKAWAIDA WATU KUTOKA MATAIFA MENGINE KUTAJWA TAIFA LAO.SIO WAANDISHI WA KITANZANIA BALI DUNIANI KOTE.FOCUS KWENYE PICHA MDAU SIUNAMUONA HAPO VETERANI ADOLPH RISHARD HAU UKUMBUKI ENZI ZAKE?

    ReplyDelete
  3. Mi ananifurahisha Leodgar Tenga,wadau wenzake wengi japo si wote anawakumbuka na kuwapa vibarua.Hao ndio wenye mpira wao wanajua nini soka la vijana kwa kua wameanzia chini wakiwa Yanga

    ReplyDelete
  4. Pan African Ndio Club Kubwa Kuliko simba na Yanga Kwaherini au michuzi unanikatalia. Ikitoka Pan African ni Simba Then Zengine MWisho Yanga.

    ReplyDelete
  5. kuna timu ilikuwa inaitwa COSMO. pia walikuwa na winga 11 wao anaitwa KATINKO.

    michuzi tuletee picha za COSMO na NYOTA NYEKUNDU.

    "Yanga Imara, Simba Kipara, Cosmo Kahara."

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...