niko na mhanga wa tindikali mzee ndimara tigambagwe ambaye akiwa mhariri mshauri wa gazeti la mwana halisi yeye na mhariri mkuu wa hilo gazeti saidi kubenea walishambuliwa na kuumizwa na kitu kinachosadikiwa kuwa tindikali. mzee tigambagwe pamoja na kubenea wako fiti na wanaendeleza libeneke la habari kama kawa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ndugu Michuzi kuna wakati fulani wale walio fanya hilo tendo chafu la kuwamwangia wenzao tindikali walikamatwa wakafikishwa mahakamani. Inasemekana waliwataja baadhi ya vigogo ambao waliwatuma, hebu tumegee kidogo ni akina nani? (usiogope mwaka ujao siku kama ya leo utateuliwa kuwa waziri wa habari na utangazaji maana utakuwa umemeliza mwaka kama mkuu wa wilaya ya Tegeta iliyoko Ilala hahahaaaaaaaaa).

    ReplyDelete
  2. JAMANI MICHU NIOMBEE CONTACT KWA HUYO MZEE YA MWANAE AMANI TEGAMBWAGE MARA YA PILI NAKUOMBA ATAKUPA WE HAD 4 YEARS 2GETHER KWA MARA YA MWISHO ALIKUWA SUA PLEASE jkigwambaye@yahoo.com

    ReplyDelete
  3. Mhanga ni mtu anaye jitolea kwa matakwa yake kufanya jambo fulani(mfano ni wale wanaovaa mabomu na kujilipua)."Muathirika" ni mtu anayepatwa na janga bila kutarajia!
    Hivyo basi, Mzee Ndimara ni MUATHIRIKA wa tindikali na si Mhanga!!!!

    ReplyDelete
  4. huyu naye alikatwakatwa wapi atuoneshe basi

    ReplyDelete
  5. ACHA KUHARIBU MAJINA YA WATU NI TEGAMBWAGE EBBOH!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...