Home
Unlabelled
Ndimara Tigambagwe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ndugu Michuzi kuna wakati fulani wale walio fanya hilo tendo chafu la kuwamwangia wenzao tindikali walikamatwa wakafikishwa mahakamani. Inasemekana waliwataja baadhi ya vigogo ambao waliwatuma, hebu tumegee kidogo ni akina nani? (usiogope mwaka ujao siku kama ya leo utateuliwa kuwa waziri wa habari na utangazaji maana utakuwa umemeliza mwaka kama mkuu wa wilaya ya Tegeta iliyoko Ilala hahahaaaaaaaaa).
ReplyDeleteJAMANI MICHU NIOMBEE CONTACT KWA HUYO MZEE YA MWANAE AMANI TEGAMBWAGE MARA YA PILI NAKUOMBA ATAKUPA WE HAD 4 YEARS 2GETHER KWA MARA YA MWISHO ALIKUWA SUA PLEASE jkigwambaye@yahoo.com
ReplyDeleteMhanga ni mtu anaye jitolea kwa matakwa yake kufanya jambo fulani(mfano ni wale wanaovaa mabomu na kujilipua)."Muathirika" ni mtu anayepatwa na janga bila kutarajia!
ReplyDeleteHivyo basi, Mzee Ndimara ni MUATHIRIKA wa tindikali na si Mhanga!!!!
huyu naye alikatwakatwa wapi atuoneshe basi
ReplyDeleteACHA KUHARIBU MAJINA YA WATU NI TEGAMBWAGE EBBOH!
ReplyDelete