WADAU KUNRADHI, MSIONE SPIDI YA LIBENEKE IMEKUWA NDOGO MKADHANIA VIPI. NI KWAMBA KWA SASA NIKO SAFARINI NANIHII NA NITAPOWASILI TU LIBENEKE KAMA KAWA.
KUNA MDAU KAULIZA KUHUSU MDAU WA MILIONI 4 AMBAYE ATAPATIKANA WIKI HII PANAPO MAJAALIWA. NIMESHAONGEA NA WAFADHILI NASUBIRI JIBU LEO USIKU.
TUOMBE MUNGU ATUFADHILI TENA LA KAMA ITASHINDIKANA BASI TUTASHEREHEKEA KAVU KAVU...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Nimepata tetesi kuwa upo safarini wilayani "tegeta" kushughulikia matatizo ya wana-wilaya yako.Haya Bw. DC nenda kawajibike nakutakia mafanikio mema.Ha ha ha ha

    ReplyDelete
  2. Kaka michuzi na wewe umekuwa Vasco Dagama nini?kama rais wetu hahahaaaaaaaaa!aya mkuu haina noma sisi tupo tunasubiri hizo mpya.

    ReplyDelete
  3. TUNAJAUA KAKA UNAMFUATA JK USA. AAH MICHUZI WEWE UNAPEWA SAFARI ZA USA PEKE YAKO TUU!

    ReplyDelete
  4. Dah Bro Michu naona unakula dunia na mafisadi akina Chenge, Kikwete etc huko China...
    Haya Kaka

    ReplyDelete
  5. poa safari njema.

    ReplyDelete
  6. DUH MICHUZI KWA SAFARI UTAFIKIRI KIKWETE!
    KAMA VIPI MDAU WA MILLION NNE UMPE ZAWADI YA KUKUPA COMPANY YA ONE OF SAFARIZ INSTEAD OF KAVUKAVU. IMEKAA VIPI HIYO?

    ReplyDelete
  7. aah Chuzi nae utafikiri Jakaya!!!?mguu na njia ndio maana hamuoni matatizo hme.Chuzi endeleza libenekeeeeee.

    ReplyDelete
  8. aah Chuzi nae utafikiri Jakaya!!!?mguu na njia ndio maana hamuoni matatizo hme.Chuzi endeleza libenekeeeeee.

    ReplyDelete
  9. Nasikia baada ya kupata ukuu wa wilaya eti umeenda kufungua account nje ya nchi kwenye kisiwa cha nanihii katika ile benki ya nanii zilimokutwa $1million za waziri wa miundombinu.

    ReplyDelete
  10. Nilijua tu michuzi atakuwa amesafiri...ni kwa jinsi ya ile picha ya TBL walipokwenda kutoa msaada kwenye shule ya msingi ilivyo-hang kwa masaa zaidi ya 24 jana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...