GEMU LIMESHAANZA KATI YA SIMBA NA ENYIMBA NESHNO NA NI KIPINDI CHA KWANZA. HADI SASA NI GOLI 1-1 . SIMBA WALIKUWA WA KWANZA KUPATA BAO DAKIKA YA 5 NA ENYIMBA WAKASAWAZISHA DAKIKA 15 BAADE.
HE! SIMBA WAMEPIGWA LA PILI SASA HIVI NA NA UWANJA UMENUNA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Loooohh jamani Simba!Goli 6 watazipata kweli?Bado goli 5.

    ReplyDelete
  2. Duh. hali mbaya wachezaji,viongozi tukishidwa subirini mikwaju clabuni

    ReplyDelete
  3. Yaani wewe unawaza simba kushinda mechi hiyo,kwa timu gani!Umewaona wachezaji wenyewe,maneno mengi ka-Julio tu.Hawana chochote

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...