GEMU LIMESHAANZA KATI YA SIMBA NA ENYIMBA NESHNO NA NI KIPINDI CHA KWANZA. HADI SASA NI GOLI 1-1 . SIMBA WALIKUWA WA KWANZA KUPATA BAO DAKIKA YA 5 NA ENYIMBA WAKASAWAZISHA DAKIKA 15 BAADE.
HE! SIMBA WAMEPIGWA LA PILI SASA HIVI NA NA UWANJA UMENUNA
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Loooohh jamani Simba!Goli 6 watazipata kweli?Bado goli 5.
ReplyDeleteDuh. hali mbaya wachezaji,viongozi tukishidwa subirini mikwaju clabuni
ReplyDeleteYaani wewe unawaza simba kushinda mechi hiyo,kwa timu gani!Umewaona wachezaji wenyewe,maneno mengi ka-Julio tu.Hawana chochote
ReplyDelete