Home
Unlabelled
TBL yatoa mkwanja wa madawati kimara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MICHUZI NA WADAU WOTE
ReplyDeleteSASA INAKARIBIA KUFIKIA HIT MILIONIO NNE KATIKA BLOG HII LAKINI MICHUZI YUPO KIMYA SANA NA KALE KASHINDANO KAKE. AU UMEAMUA KUKAACHA???
MAANA YULE MDAU WA MILIONI TATU ALILALAMIKIWA SANA KUWA KULIKUWA NA UPENDELEO. SASA WA MILIONI NNE JEE AU HAKUTAKUWA NA SHINDANO???
SASA NI MILIONI TATU NA LAKI TISA NA ZAIDI HWENDA KESHO IKAFIKIA MILIONI NNE SASA VIPI MBONA KIMYA??
MDAU ALIYESHINDWA SHINDANO LILILOPITA.
bora wangetoa madawati pesa ya nini?sisi tupo
ReplyDeleteWamefanya vizuri kuwakumbuka watoto kwani wakubwa wao wana mwamwamko mkubwa sana katika kuchangia maendeleo ya TBL na kusahau maendeleo ya wadogo/watoto/ndugu zao hasa ktk elimu. Wachangiapo TBL huwa hawalalamiki na mara nyingi hujisifia kwenye vijiwe ila wanapofuatwa kuchangia maendeleo ya elimu, wanalalamika na kusema kwamba hilo ni jukumu la serikali. Pia mara nyingi hizi kampuni zinajitolea kwenye michezo na urembo. Nionavyo mimi ni vizuri wakaongeza nguvu kwenye elimu kwani huko ndiko chimbuko la vyote hivyo. Hongereni TBL ila tunawaomba mzidi kusaidia zaidi ili nchi itimize malengo yake ya elimu ikizingatiwa kwamba nyinyi ni kati ya kampuni zinazotengeneza faida kubwa nchini Tanzania;
ReplyDeleteWELL DONE!!!! TBL nyinyi ndio wabongo halisi. "vijana ndio taifa la kesho" serikali na wawekezaji wake hawafikiri hivyo mradi wao walishasoma kwenye madawati na watoto wao wanasoma nje na jasho la walala hoi.wako tayari kusaidia nchi zingine wakati kwao kwavuja,hivi hamuoni aibu that we have very poor system of school?misitu tunayo tuna jeshi ambalo halina vita kwanini wasipewe jeshi litengeneze madawati badala ya kwenda comoro!!!?safari ya comoro inagharama ambayo ingeweza kusaidia katika shule za serikali au kujengwa mpya.ningeomba mheshmiwa wa wizara ya elimu ajitahidi kutatua hili tatizo kwani ni aibu kwa taifa letu,tunatembea na mapajero wakati watoto wetu wanakaa chini mashuleni,shem shem of us taifa letu la kesho tunalifundisha nini?????
ReplyDeleteby Mlalahoi.
Huyu Jamaa kamind huyu dada aisee. Angalia kamshika mkono kwa nguvu. Halafu inaonekana huyu dada anaumia vile!!!! Huoni kakunjamana sana aisee. We angalia tu mwenywe usijesema mimi namind.
ReplyDeleteWell done TBL we need people like you.kwa ajili ya Taifa la kesho imara!
ReplyDeleteby msufini.
Khaaaaaaaaa hilo wigi au? Hivi kwao kuna kioo i mean the wiman with a blue dress utadhani katoka kufufka!!! Mwanangu mvivu wa kula nilipomunyesha hii picha kabwia bakuli la uji within 5 minutes, style nyingine bwana halafu ukisema unaambiwa ooh unaona wivu mhh
ReplyDeleteAma kweli bongo tambalale. Serikali ya Tanzania ibadili sheria zake kuhusu wageni ili wapewe ingalau temporary resident permits kama vile US, UK etc zinavyofanya. kwani wageni na watanzania waliobadili uraia wa Tanzania huko ulaya watasaidia maendeleo ya nchi hii.
ReplyDeleteKuna dada wawili nawajua wameolewa nje, huwa wakija likizo waume zao (wazungu) hujitolea kufundisha na kujenga madalasa huko kwao mkoani Mbeya, wamekuwa wakituma vitabu na hata computer. Kuna watanzania wengi sana wameolewa nje, waume zao wana hamu sana ya kuja kuishi na kujenga Tanzania lakini serikali yetu inaishia kuwapa tourist visa kwani haitaki kuwapa temporary resident permits kwa kufuata sheria za mwaka 47. Watu hao wangerudi nyumbani natumaini baadhi wangesaidia sana kuchangia maendeleo kwenye jamii yetu.
Mdau
Mbeya
sana DORIS, wawakilisha safi chama cha wanakossovo.(IJMC) unazidi kung'aa tu.Chapa kazi.
ReplyDeletewapi Tina Sebastian?
hongera sana dada wa TBL
ReplyDeletewow!!! doris, i didnt umekuwa PR wa TBL, hongera sana.has been a long way tangu enzi zile msimbazi mseto na shariff shamba ilala, hongera sana.
ReplyDeletemdau UK.
we michuzi hebu toa maoni ya watu bwana!!!!!!
ReplyDeleteHuyo mwalimu mkuu na huyo afisa uhusiano wa TBL mbona wanachangamkiana sana?? walisoma wote? labda walikuwa wote jeshini (JKT)...naona wameshikana mikono barabara!! sasa mnauliza nataka kusema nini? Safi sana TBL inarudisha faida kwa wananchi
ReplyDeleteE bwana we na yule Mother mwenye "blue" kule nyuma ni nini hilo "afro" manake duh!!!!!!!!!1
ReplyDeleteMie ningeshauri msiwe mnatoa hela cash,ni afadhali mnunue madawati na kuwakabidhi,wqalimu ni watu wana shida sana ya hela hapo bongo,hivyo ni rahisi kuingia tamaa na kumega kidogo kidogo,ni heri kutoa kabisa madawati..asanteni kyekue
ReplyDeleteKazi nzuri sana TBL.Swala la ukosefu madawati mashuleni yabidi liwaguse wote maana hao watoto ni Tanzania ya kesho.
ReplyDeleteAgain well done TBL!!
Ngoja watoto wetu wasome wapate ujuzi, ikiwa ni pamoja na ule wa kukarabati ndege zetu tunazonunua mitumba, ambazo zinahatarisha usalama wa abiria, kama stori hii itakavyozidi kubainika:
ReplyDeleteGOMA, Congo - A plane crashed Tuesday into a crowded neighborhood in eastern Congo, and at least 79 people were believed to have died, government officials said. There were six known survivors.
Halafu hayo madawati watayaweka wapi wakati jengo kwa nyuma linaonekana kama gofu? Nadhani ni ile ile hadithi ya kuku na yai .....
ReplyDeleteBil 1/= iliyofichwa UK na waziri wa JK (wa miundombinu)ingetosha kuondoa tatizo la madawati. Mungu ibariki Tanzania kwani mafisadi wataimaliza. Hivi wTz tuna matatizo gani!! mtu kuiba mapesa na kwenda kuyaficha nje ya nchi huku wananchi waliompa ubunge wanapata taabu na hata kufa kwa maradhi!!! Ama kweli kanga, kofia, pombe za kienyejei, pilau n.k zinatugharimu wananchi. UK tusaidieni ili hizo pesa zikatatue matatizo yetu Tz
ReplyDeleteMichuzi huyu mwanamke mtamu jamani ehe, toa maoni yangu, mwanngalie kifuani, halafu cheki hiyo kunja sura yake, huyu mtoto kiboko ila mpaka uwe mtaalamu ndiyo utabaini.
ReplyDeleteTBL tunashukuru kwa hiyo misaada yenu LAKINI punguzeni Bei ya hizo Bia zenu!Hivi zinatengenezwa kwa ajili ya Matajiri tu peke yao?Mtanzania gani wa kipato cha wastani atakaye mudu kunywa angalau Bia Mbili TU kila siku kwa Bei ya shilingi Elfu Mbili kwa Lita Moja ya Bia?Chupa mali yenu haondoki nayo mnywaji,atakacho nunua hapo kwa hizo shilingi Elfu Mbili nzima NI HUO MKOJO PEKE YAKE!Kumbukeni wenye kipato cha chini kwani hata wao wanayo haki ya kuishi maisha mazuri bila ya kuhatarisha Bajeti za Familia zao kwa mahitaji ya lazima ya kila siku.Tengenezeni Bia itakayo uzwa kwa bei isiyo zidi shilingi 300/= kwa chupa moja ya Nusu Lita.Mimi ni mmoja ya wale waliosusia kunywa Bia zetu kutokana na Bei kubwa mno isivyo halali.Huu ni mwaka wa Kumi sasa toka niache kunywa Bia zenu na maisha yananiendea vizuri tu.Angalau hivi sasa Watoto wangu wana uhakika wa kupata Chai kila siku asubuhi.Zamani ilibidi nitafute visingizio baada ya kumaliza pesa ndogo niliyokuwa nayo kwa kunywea Bia ambazo nilikuwa nimezizoea sana.Msisingizie Kodi ya Hazina.Hilo halituhusu sisi wanywaji.Tunachohitaji ni kinywaji cha kisasa kwa bei nafuu sana.Lita moja ya Petroli hivi sasa ni shilingi Elfu Moja na Nusu na hii ni baada ya kupanda sana.Lakini Lita Moja ya Bia ni shilingi Elfu Mbili.Bia na Petroli wapi na wapi?Hivi mmefanya utafiti ili kubaini madhara ya Bei kubwa kiasi hicho cha bidhaa za anasa kama Bia na Sigara athari zake katika ku DIVERT Bajeti za Familia kutoka katika mahitaji muhimu ya kila siku?Au mnajipangia Bei tu mnavyotaka madhali Wadanganyika ni Majinga tu?Wizara husika ndiyo HOHEHAHE!-Mchumi wa Walalahoi
ReplyDeleteUhaba wa vifaa vya shule unaletwa na ubinafisi wa viongozi wetu. Kwanza hizo shule hawazioni kwa sababu watoto wao hawasomi huko.
ReplyDeleteHivi Kikwete haoni aibu kuwakumbatia watu wanaotuhumiwa kwa ufisadi? Chenge ni dhahiri naye fisadi na amekubali ile hela ya Kisiwani yake sasa Kikwete anasubiri kuunda tume ya kumchunguza????