Home
Unlabelled
zenj nako tambarare
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HEYY,,,mimi niko nje ya mada...michuzi niuma email kwako kuwa na watafuta washikaji zangu mbona haujaiweka..??...au ndio kubaniana..?/
ReplyDeleteHUU NDIO WAKATI WATU WANAKUFA KWA WINGI ZANZIBAR KWA KIPINDUPINDU.USAFI MUHIMU NA KUCHEMSHA MAJI.
ReplyDeleteNilitembelea zenji once, na sirudi tena, watu wachafu sana, mjini watu wako peku, alafu mgahawani huko, salaaaaaaaaaaaaaaaale, that was 1995. I hope kumebadilika. cheeee!
ReplyDeleteMaji ya mvua katika mji mkongwe hayachukui muda mrefu kabla ya kutoweka, haya ni mafanikio ya mradi wa michirizi wa manispaa hiyo, tofauti na hapo zamani
ReplyDeletewewe anon hapo juu 8:50:00pm unatokea shamba gani?ukiitaja zenji fanya heshima,unasema kuchafu huo si uchafu ni mvua kubwa zinazonyesha kwa wingi hata hapa ukerewe mambo kama hayo yanatokea wacha kashfa,fanya urudi kijijini kwenu ulikotoka
ReplyDeletemji usiwe mchafu na mapato yote yakisha kupatikana ikifika saa 12.30 kila siku yanakwenda mrima haya mie yangu macho.
ReplyDeleteKAMA NI KUCHAFU NI KUCHAFU TU, HAIJALISHI KAMA UK NI PACHAFU PIA BASI TUONE HALI YA KAWAIDA BONGO.
ReplyDeleteCALL A SPADE A SPADE.