maeneo ya darajani baada ya mvua ya jana huko zenj kwa mujibu wa mdau john kitime

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. HEYY,,,mimi niko nje ya mada...michuzi niuma email kwako kuwa na watafuta washikaji zangu mbona haujaiweka..??...au ndio kubaniana..?/

    ReplyDelete
  2. HUU NDIO WAKATI WATU WANAKUFA KWA WINGI ZANZIBAR KWA KIPINDUPINDU.USAFI MUHIMU NA KUCHEMSHA MAJI.

    ReplyDelete
  3. Nilitembelea zenji once, na sirudi tena, watu wachafu sana, mjini watu wako peku, alafu mgahawani huko, salaaaaaaaaaaaaaaaale, that was 1995. I hope kumebadilika. cheeee!

    ReplyDelete
  4. Maji ya mvua katika mji mkongwe hayachukui muda mrefu kabla ya kutoweka, haya ni mafanikio ya mradi wa michirizi wa manispaa hiyo, tofauti na hapo zamani

    ReplyDelete
  5. wewe anon hapo juu 8:50:00pm unatokea shamba gani?ukiitaja zenji fanya heshima,unasema kuchafu huo si uchafu ni mvua kubwa zinazonyesha kwa wingi hata hapa ukerewe mambo kama hayo yanatokea wacha kashfa,fanya urudi kijijini kwenu ulikotoka

    ReplyDelete
  6. mji usiwe mchafu na mapato yote yakisha kupatikana ikifika saa 12.30 kila siku yanakwenda mrima haya mie yangu macho.

    ReplyDelete
  7. KAMA NI KUCHAFU NI KUCHAFU TU, HAIJALISHI KAMA UK NI PACHAFU PIA BASI TUONE HALI YA KAWAIDA BONGO.

    CALL A SPADE A SPADE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...