Miss Universe TZ 2008 Amanda Sululu akipozi muda mfupi baada ya kutangazwa kwenye Ukumbi wa Movenpick usiku kuamkia leo. Huyu ndiye mrithi wa Flavian Matata ambaye mwaka jana aliingia tano bora kwenye mchuano wa dunia. amanda si mgeni sana kwenye ulimbwende kwani mwaka jana alishiriki Miss TZ

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2008

    Michuzi hivi ni Flaviana au ni Flavian. Hicho kichwa cha habari kina kadosari kadogo

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2008

    Jamani kweli mambo ya Ulimbwende yanausanii wa kutosha Haya kumbe mwaka jana huyu mrembo alikuwepo ktk kambi ya miss tanzania walishidwa nini kumvika taji adi wakatuchagulia yule muhindi kwanza hata sijui yuko wapi na ahadi zake hewa.Haya bwana Amamnda hongera zako .

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 30, 2008

    MUNGU WANGU HAMANA KITU MTU MZIMA

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 30, 2008

    Hana mvuto kama Flaviana

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 30, 2008

    jamani ee,kama alishindwa miss tanzania,huko miss universe atashinda kweli?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 30, 2008

    mmm! Jamani huyu ni binti au mama?

    ReplyDelete
  7. yuko poa ila nilifikiri ni miss universe/miss tanzania wa 1984 kumbe wa mwaka huu kaaz kweli kweli maana kakomaa kwa style

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 30, 2008

    She didn't make it thru Miss Tanzania n the judges think she will make it at Miss Universe? I don't think so.....
    I guarantee 1st she's out, afterall she is f@#ken UGLY dammmmm.
    Mdau T-Dot

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 31, 2008

    BIBIE KULA MLO UTAKAOFANYA NGOZI/MWILI UWE "..MWORORO.." NA FANYA MAZOEZI "..MAHUSUSI.." AU "..HUSUSANI.." (KWA AJILI YA UREMBO). MAALIM ISSA PICHA YAKE KUANZIA "..UTOSI MPAKA UWAYO.."

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 31, 2008

    KWA JINSI HAO MAMISS WALIVYOWAONGO UTASIKIAHUYO DADA ANA MIAKA 17 LOL NGOJA TUTAFUTE PROFILE YAKE TUONE

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 31, 2008

    KWENDENI ZENU HAPA, HASA WEYE ULIOSEMA AMANDA HANA MVUTO KAMA FLAVIAN. EBOOO WEYE KIPOFU NINI? AMANDA IS MORE BEAUTIFUL THAN FLAVIAN.
    SAMAHANI LAKINI UKWELI NDIO HUU UPOKEE KAMA ULIVYO.
    CONGRATULATION AMANDA, WELL DONE CUTIE.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 31, 2008

    kweli kabisa kauso kamekomaa.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 31, 2008

    Wewe unayasema huyu mzuri kuliko Flavia, hebu angalia comments walizotoa wadau. Je ni wangapai wamesema huyu Amanda ni Mzuri? Je ni wangapi wamesema sio mzuri? Ukijumlisha utapata jibu. Inaelekea labda macho yako sio mazuri unahitaji miwani

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 01, 2008

    Duh! kwa mademu roosevelt hajambo, kwamaana hii lazima mumwaminie kwa maoni aliyochangia.
    Nitakupa offer later at Break Point kwa Seba.Sugar mamii Lina hajambo lakini?

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 02, 2008

    Mbona lizee ,mama na watoto nyumbani

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 02, 2008

    Hongera Amanda achana na hao wasiopenda maendeleo yako ndo kazi yao kukosoa kila kitu hata kama hakina hakina kasoro,hongera sana

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 02, 2008

    hongera AMANDA usijali longolongo za watu wenye wivu hapa. Maadam umefagiliwa na cool dude kama ROOSEVELT basi pokea tu HONGERA ZAKO.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 02, 2008

    mpende msipende,ndio ameshakua miss sasa acheni ndomondomo

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 03, 2008

    nakubaliana na anonymous hapo juu. mjini hapa mmezidi ndomondomo. usijali AMANDA wataseeema watachoka. walitangaza siri za BENI MLOKOZI na kumuumbua jinsi alivyoingia tu Italy na kutolewa puta. akarudi, mjini mzima ukajua. mlivyokuwa na umbea na ndomondomo. Beni alijificha siku chache tu, mkasema mkachoka, akaendelea kudunda. shame on you. katafuteni kazi za maana. ili muache ndomondomo. Amanda ameshakuwa MISS mpende msipende. wivu tu unawasumbua. ndomondomo zenu zitayayuka na kusahaulika tu hivi karibuni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...