Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2008

    mbona empty

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2008

    ni vizuri kumpa tahadhari,kwani hata mzee kipara miaka yake mitano ya kwanza alijifanya mtakatifu,ilipofika awamu yake ya pili wajanja wakamfumbua macho ndo akaanza kukomba mboga,we mtu uwe rafiki na mahita unategemea utakuwa na uoga wa kuiba?na hao ndo ilikuwa kampani yake,na kina zombe,tena na mahita soo lake tunataka lifufuliwe nae ni muuaji na jambazi toka akiwa moshi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 30, 2008

    Hahahhaha hapo umeongea ni kweli wote ni wale wale hamna hata mmoja mwenye afdhali kweli kabisa.......

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 30, 2008

    kp kp bora umwambie kabisa maana mzee mzima ben naona kama anaistahili kunyongwa kwa namna alivy tufanyia wabongo sasa bora jk nae akawa makini maana la sivyo halia itakua mbaya

    jose

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 30, 2008

    Asante Kipanya kwa kuelimisha jamii. Ungekua unafanya vitu vyako nchi zenye kuthamini vipaji vya raia wake lazima ungepokea tuzo kubwa-kubwa tu.

    Asante sana.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 30, 2008

    makini ipi?? aibe asigundulike au???.big up kazi nzuri mkuu.message sent

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 30, 2008

    KP upo juu sana hawa jamaa huwa wanajisahau zaidi ktk dk 45 za mwisho wa mchezo hapo ndio hucheza rafu na baadae hujikuta hata mchezo mzuri wa kipindi cha kwanza unafunikwa na rafu zao za kipindi cha pili. Ngoja 'OBAMA' aonyeshe njia kuwa hata waafrica tunaweza tukiwa commited.

    Mcheki Pfleger hapa ucheke kidogo na comment zake kuhusu Hillary hapa kwenye hii link alizotoa jana

    http://www.youtube.com/watch?v=_H11x6bMu4Y

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 31, 2008

    MICHUZI MSAADA TUTANI.
    MIMI NI MTANZANIA NIKO HUKU UGHAIBUNI NIMELOWEA SIKU NYINGI HILI NENO TIGO LINALOTUMIKA KAMA SLOGAN YA MOBITEL MAANA YAKE NINI? NASHUKURU MAANA WEWE SIKU ZOTE NI MTU WA KUSAIDIA.
    PLEASE MZAMIAJI.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 31, 2008

    Mimi nadhani huyu Kipara sio kama alijisahau awamu ya kwanza...ikumbukwe awamu ile mzee wa nchi alikuwepo mwenyewe. Hivyo ushenzi haukuwezekana sana na jamaa alikuwa anamuogopa sana mzee kifimbo.

    Dawa nchi wachukue wapinzani na kuwaonesha upuuzi wanaotufanyia, CCM laana tupu!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 31, 2008

    Chenge ngoma nzito..!

    2008-05-30 18:28:40
    Na Emmanuel Lengwa, Jijini


    Mapesa zaidi ya Sh. Bilioni Moja yanayodaiwa kukutwa katika akaunti moja iliyoko nje ya nchi ya aliyekuwa Waziri wa Miundombinu Bw. Andrew Chenge, yamezidi kumfanya Waziri huyo wa zamani aandamwe na baadhi ya wanasiasa nchini.

    Wakizungumza na Alasiri leo asubuhi ikiwa ni baada ya kutolewa taarifa na Benki Kuu, BOT kuwa ni kosa kuweka mapesa ya kigeni nje ya nchi, baadhi ya wanasiasa wamedai kuwa mapesa ya Chenge sasa yatakuwa yamejaa utata mtupu utokanao na maelezo hayo ya Afisa mmoja wa juu wa BOT.

    Wakasema utata wenyewe, unatokana na ukweli kuwa endapo Bw. Chenge anazo pesa hizo ambazo amezipata kihalali, atakuwa amefanya makosa kama amekwenda kuzihifadhi nje ya nchi na kwamba kama alizipatia huko, atakuwa na kibarua kingine cha kufafanua kuwa amezipataje.

    Akizungumza na Alasiri leo asubuhi, Mwenyekiti wa DP, Mchungaji Christopher Mtikila ambaye kitaaluma ni mwanasheria, amesema sheria hiyo iliyokaririwa na Afisa wa BOT ambaye ni Mchumi mwandamizi, Dk. Kessy Pantaleo ipo na kwamba kweli inazidisha utata juu ya mapesa ya Bw. Chenge.

    Akasema Mtikila kuwa hadi sasa, yeye anamshangaa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini, DPP kwa kutomkamata Bw. Chenge mpaka sasa, hasa baada ya kuhifadhi mapesa yake nje ya nchi.

    ``Chenge tayari ni mtuhumiwa wa kuvunja sheria hiyo na tayari mwenyewe ameshakiri kuwa amehifadhi fedha nje... DPP anapaswa kumfungulia mashtaka,`` akasema Mchungaji Mtikila.

    Naye Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, Bw. James Mbatia, amesema kuwa ni kweli sheria hiyo ipo, lakini naye akawashangaa BOT kwa kuchelewa kuwaeleza wananchi kuhusu suala hilo.

    ``Ni kweli, sio sheria kwa raia kufungua akaunti yenye fedha nyingi nje ya nchi... lakini nawashangaa BoT, kwa kulifumbia macho suala hili kwa muda mrefu na sasa ndio wanalisema. Sielewi ni kwanini,`` akasema Bw. Mbatia.

    Akizungumzia utata kuhusiana na mapesa hayo ya Chenge nje ya nchi, Bw. Mbatia amesema ni vyema Waziri huyo wa zamani akazirejesha nchini fedha hizo na kisha taratibu nyingine za kisheria zichukue mkondo wake.

    Bw. Chenge ambaye alijiuzulu uwaziri wa Miundombinu hivi karibuni ili kupisha uchunguzi wa ununuzi tata wa rada ya mabilioni ya pesa wakati akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

    Taarifa za gazeti moja nchini Uingereza zilidai kuwa Chenge ana akaunti iliyoko katika Kisiwa cha New Jersey nchini Uingereza, iliyo na pesa zinazofikia kiasi cha Sh. Bilioni 1.2, ambazo hata hivyo, mwenyewe alikuja kukaririwa akisema kuwa pesa hizo ni vijisenti tu.

    SOURCE: Alasiri

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 31, 2008

    Hivi wewe unayesema ngoja OBAMA awaonyeshe ETI HATA WAAFRIKA TUNAWEZA! NANI KAKWAMBIA KUWA BARACK NI MWAFRIKA?? HEBU TUACHE KUJIDANGANYA! HAKUNA CHOCHOTE KINACHOMFANYA OBAMA AWE MWAFRIKA! BABA YAKE NDIYE ALIYEKUWA MKENYA, SIONI UAFRIKA WAKE UKO WAPI!
    LET US FACE IT!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 31, 2008

    FURSA SAWA KWA WOTE.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 31, 2008

    Anko Michu bado uko Arusha au umesharudi Dar?Leo umechelewa kweli kuamka,kwanini au mambo fulani jana.Asante mIchuzi we love you.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 31, 2008

    We Annon wa 8.54AM mbona unajichanganya sasa KENYA IPO Amerika au ULAYA?. Hapa tunaongelea Asili ya mtu wewe. Obama asili yake ni Africa hata kama mama yake ni Mzungu huo ndio ukweli wenyewe. Japo ni Raia wa Marekani lakini bado ni mwafrika na ndio maana wanamuita AFRICAN-AMERICAN

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 31, 2008

    Mdau unaesema kuwa Obama si mweusi haujui cheti chake cha kuzaliwa race yake ni negro. mzungu na mweusi huku jawabu ni mweusi hakuna half cast wala cha nini. Your ass is black

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 02, 2008

    jamani obama is african,huoni sura ya ki-ochieng ile

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 02, 2008

    kuna mdau haongei FACTS humu ndani.OBAMA is african

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...