charles hilary wa bbc akiwa na wasaidizi wa mzee rashidi kawawa, mohamed kasuva, na Luanda (kulia) wakiwa london hivi karibuni.
habari ambazo zimeingia sasa hivi zinasema kaka mohamed kasuva amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari usiku wa kuamkia leo maeneo ya kijitonyama, makumbusho, dar.

kwa mujibu wa kaka luanda msafara wa kuelekea dodoma kwa mazishi unaaza wakati wowote kuanzia sasa kutokea kijitonama. mazishi yanatarajiwa kuwa kesho dodoma mjini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2008

    INNALILLAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUN

    ReplyDelete
  2. Makumbusho panataka "Tambiko" kila mwaka yaillah!!
    Makumbusho James Dandu
    Makumbusho Mbamba Uswege
    Makumbusho sasa Luvanda
    Mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi Amen

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2008

    innalilah wainalilah rajuun.

    WE ARE ALL IN THE SAME WAY, ITS JUST UNFORTUNATELY ALLAH DECIDED TO TAKE YOU BEFORE US.

    MAY ALLAAH REST YOU SOUL IN PEACE.AMEEN

    Popo

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2008

    INNALILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUUN
    M/MUMGU aiweke roho ya marehemu mahala pema peoponi.amin

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 31, 2008

    sio suala la tambiko wala nini, kutoa tambiko ni kurudi nyuma kimaendeleo, hapo ni suala zima la road designs, kuangalia upya magari yanayoingia nchini sio gari limetembea kilometa laki mbili japan likija dubai watu wanavuta mkanda nyuma linaonekana limetembea elfu hamsini, ndio kwanza mtu anadai ana gari jipya!
    safari ndefu tunayo! sijui nani aanze

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 01, 2008

    INNALILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUUN

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 01, 2008

    Kwa haraka haraka nikajua Charles hilary ndo bye bye

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 02, 2008

    hata mie nilidhani charles hillary,nilishtuka sana. jamani poleni kwa wafiwa but MAKUMBUSHO,whats with this place?? MAKUMBUSHO NA KIMARA(ile njia ya ubungo kwenda kimara aka ajali road) ni nini na hizi sehemu?always watu wanakufa! nasikia kuna siku alionekana babu mmoja kavaa kibarakashee akivunja nazi katikati ya hii barabara ya makumbusho!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 02, 2008

    acheni ushirikina bwana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...