
habari ambazo zimeingia sasa hivi zinasema kaka mohamed kasuva amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari usiku wa kuamkia leo maeneo ya kijitonyama, makumbusho, dar.
kwa mujibu wa kaka luanda msafara wa kuelekea dodoma kwa mazishi unaaza wakati wowote kuanzia sasa kutokea kijitonama. mazishi yanatarajiwa kuwa kesho dodoma mjini
kwa mujibu wa kaka luanda msafara wa kuelekea dodoma kwa mazishi unaaza wakati wowote kuanzia sasa kutokea kijitonama. mazishi yanatarajiwa kuwa kesho dodoma mjini
INNALILLAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUN
ReplyDeleteMakumbusho panataka "Tambiko" kila mwaka yaillah!!
ReplyDeleteMakumbusho James Dandu
Makumbusho Mbamba Uswege
Makumbusho sasa Luvanda
Mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi Amen
innalilah wainalilah rajuun.
ReplyDeleteWE ARE ALL IN THE SAME WAY, ITS JUST UNFORTUNATELY ALLAH DECIDED TO TAKE YOU BEFORE US.
MAY ALLAAH REST YOU SOUL IN PEACE.AMEEN
Popo
INNALILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUUN
ReplyDeleteM/MUMGU aiweke roho ya marehemu mahala pema peoponi.amin
sio suala la tambiko wala nini, kutoa tambiko ni kurudi nyuma kimaendeleo, hapo ni suala zima la road designs, kuangalia upya magari yanayoingia nchini sio gari limetembea kilometa laki mbili japan likija dubai watu wanavuta mkanda nyuma linaonekana limetembea elfu hamsini, ndio kwanza mtu anadai ana gari jipya!
ReplyDeletesafari ndefu tunayo! sijui nani aanze
INNALILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUUN
ReplyDeleteKwa haraka haraka nikajua Charles hilary ndo bye bye
ReplyDeletehata mie nilidhani charles hillary,nilishtuka sana. jamani poleni kwa wafiwa but MAKUMBUSHO,whats with this place?? MAKUMBUSHO NA KIMARA(ile njia ya ubungo kwenda kimara aka ajali road) ni nini na hizi sehemu?always watu wanakufa! nasikia kuna siku alionekana babu mmoja kavaa kibarakashee akivunja nazi katikati ya hii barabara ya makumbusho!
ReplyDeleteacheni ushirikina bwana
ReplyDelete