Naomba Watanzania tumpe kura zetu mrembo wetu na kumsaidia kupeperusha bendera ya taifa!
MICHUZI NAOMBA UWASHITUE WADAU KUWA ULE WAKATI WA KUPENDELEANA UMEWADIA. TUMPIGIE KURA MREMBO WA BONGO KWENYE MISS UNIVERSE ILI ASHINDE.
WEB NI HII LAKINI INABIDI UJIANDIKISHE ILI UALIKWE KABLA YA JUNI 26.
http://www.pageant-almanac.com/vote/dcballot.php?poll=mu08r1ame&who=2lq6h4s3
UJANJA NI KWAMBA MADEMU WA NIGERIA, GHANA NA AFRIKA KUSINI (NA HATA ANGOLA INGAWA HANA PICHA) NI BOMBA, KWA HIYO WAPE KURA ZA CHINI, NA. 11, 10, 9, 8.
NA WA KWETU MPE NA. 1. HAPA NDIO PA KUMALIZIA HASIRA ZETU ZA KUSHINDWA KWENYE SOKA.
Oyaa mbunge misoup, mwambie huyo msela atoe link ya ku-sign up, ili tujiandikishe, sio anatupa ma-link ambayo hata hatuoni pa kujisajili. Poa wape hi madei waka wenzako, lakini muwe makini maana masela sikuhizi wanawavizia madriver taxi.
ReplyDeletehaiwezekani tumpigie kura halafu akipata gari atatumwagia maji!!hatumpigii
ReplyDeleteEee bwana Misupu ee!
ReplyDeleteEe bwana Demu wa Nigeria ee bwana Bomba kichizi mtu wangu.
Eee bwana mi niko radhi hata kuuza nyumba yangu. Kwa kweli ni Mzuri.
Vipi huyo Maria Sarungi anaweza kunipatia kontakti zake wangu?
Wow that weave is too much man. Bila lile bango linalo sema "Tanzania" basi huto jua kama ni mtanzania. Watch how she gon fall short kudadake cuz we always wana copy others jamani tuwe natural tanzania tuna culture nzuri tuu kwa nini asinge vaa nywele zake short tuu sio leo 99cent weave hilo . anyways good luck but the only Miss Universe we ever had ws Flavian. She was the best out of all even USA n the whole world said so. Why she was soo natural
ReplyDeleteMimi nimejaribu kuangalia kuvote, kujiandikisha nimeshindwa kuona pa kujiandikisha hebu saidia hapa niipendelee nchi yangu kabla ya deadline.
ReplyDeleteVAZI HILI HALINA TOFAUTI NA LILE ALILOKUWA AKIVAA MALKIA ELIZABETI WA KWANZA MIAKA YA '40, SASA SIJUI HUYO MBUNIFU ANAMAANA GANI KUTUSANII KWA KUCHUKUA MITINDO KWENYE MITANDAO KISHA KUTUAMBIA AMEBUNI VAZI LA TAIFA MABEGA WAZI.
ReplyDeleteHELP!HELP!TUNAFANYIA WAPI REGISTRATION JAMANI ILI TUWEZE KUPIGA KURA ANGALAU TUMUOKOE AMANDA!!
ReplyDeleteHiyo link hapo chini unavote tu bila hata kijiandikisha lets do it Tanzanians, I did twice already.
ReplyDeleteNi kweli kabisa sioni hili vazi kama linamwakilisha mtanzania yeyote. Hakuna wala kabila lenye vazi kama hili.
ReplyDelete