wanenguaji wa kikundi cha ngoma cha baikoko toka tanga walikuwepo kuburudisha shoo ya mitindo ya kimasomaso ukumbi wa nssf waterfront, dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2008

    Hiyo ngoma naijua sana,hiyo kwa kina sie ni lazima uweke mkono mfukoni "incase of emergency!"

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2008

    sasa hawa nao ndio nini!!? yaani jamani hizi shinda nyingine unaweza kuzalilishwa na ukajionea sawa tu. Sithani kama kuna ngoma ktk makabila ya TZ inayochezwa namna hii tena mbele za watu, wanaume kwa wanawake!!, na kama ipo basi itakuwa na sehemu zake maalum lakini si kwenye public.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2008

    NILIJIONEA BAIKOKO KAMA MIAKA MITATU NYUMA, NGOMA INA IBILISI MBAYA HII, WALIOVAA HIJABU ZAO WAKAJISAHAU KWA SHETANI WA NGOMA YA WATANGA.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 15, 2008

    Kuna watu wanadai ooh eti tudumishe utamaduni/mila.Sasa hii inatufundisha nini(hasa kwa watoto).Kampeni dhidi ya ukimwi bado ina safari ndefu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 15, 2008

    Aaa Kaka Michuzi. Mbona umetunyima bwana?
    Huyo bibie aliyevaa nguo nyekundu kule mbali kulia ndio ulipaswa umvute hapa mbele ndo yangekuwa maneno.
    We vipi Michuzi wewe!?!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 16, 2008

    Wahenga walisema 'Kikulacho ki nguoni mwako'

    Wakati wenye busara wanapigania kwamba watanzania tubadili tabia na kuwa nzuri kuna wengine wanafanya kila wanaloweza kuhakikisha tabia inazidi kuwa mbaya, tena ya kufisha!

    Ni watu wenye akili timamu tu ndiyo watasalimika katika dunia ya sasa!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 16, 2008

    ...haya bwana! Watu wakiambiwa kuna 'mapepo' wanakataa!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 16, 2008

    he wengine wamelala kwa kule juu..makubwa

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 16, 2008

    Zip hapa shurti iwe ya shaba mwanangu!Subiri,nkishalewa Kunde utakula wewe!chimung'unye wala chiteme!chimama wima nchale wa chingo!chuchumaa tachika nchanga!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 17, 2008

    We uliesema "Wengine wamelala kwa kule juu" UMENICHEKESHA, the way you said it,funny.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 17, 2008

    Kumbe hii ngoma ya TANGA? Jamani jamani....nyie semeni kwa mtaji huu mie lazima nifike Tanga mhmm mhh mhh!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 17, 2008

    wamama wazimaaa ovyo!!
    What is the beauty of it in public?
    au ni kawafanya kaka zetu wajipe mtihani wa uvumilivu hadharani. Labda lengo ni kupim astamina za watu kwani hii inaonekana kabisa ni erotic dance.
    hivi wenye kuweka mipaka ni kitengo gani serikalini?
    Au mpaka wapewe semina na warsha elekezi iliyodhaminiwa na EU kule bagamoyo?

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 18, 2008

    hilo limama limoja likimshika mumeo uondoke ukaombe ukimbizi uk, maana mumeo amekwisha kum babajua hapo ufanye kazi kweli kweli, au sivyo itakubidi ucheze kona zote free kiki zote na rafu zote unazozijua za duniani na bila kusahau tik taka ndipo mume atarudi.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 19, 2008

    Haya haya wadau watoto wapwani hao, mtu lazima amalize mshahara wake, na hilo Dikulu mbona haponi mtu. MWAPWANI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...