Home
Unlabelled
baikoko
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hiyo ngoma naijua sana,hiyo kwa kina sie ni lazima uweke mkono mfukoni "incase of emergency!"
ReplyDeletesasa hawa nao ndio nini!!? yaani jamani hizi shinda nyingine unaweza kuzalilishwa na ukajionea sawa tu. Sithani kama kuna ngoma ktk makabila ya TZ inayochezwa namna hii tena mbele za watu, wanaume kwa wanawake!!, na kama ipo basi itakuwa na sehemu zake maalum lakini si kwenye public.
ReplyDeleteNILIJIONEA BAIKOKO KAMA MIAKA MITATU NYUMA, NGOMA INA IBILISI MBAYA HII, WALIOVAA HIJABU ZAO WAKAJISAHAU KWA SHETANI WA NGOMA YA WATANGA.
ReplyDeleteKuna watu wanadai ooh eti tudumishe utamaduni/mila.Sasa hii inatufundisha nini(hasa kwa watoto).Kampeni dhidi ya ukimwi bado ina safari ndefu.
ReplyDeleteAaa Kaka Michuzi. Mbona umetunyima bwana?
ReplyDeleteHuyo bibie aliyevaa nguo nyekundu kule mbali kulia ndio ulipaswa umvute hapa mbele ndo yangekuwa maneno.
We vipi Michuzi wewe!?!
Wahenga walisema 'Kikulacho ki nguoni mwako'
ReplyDeleteWakati wenye busara wanapigania kwamba watanzania tubadili tabia na kuwa nzuri kuna wengine wanafanya kila wanaloweza kuhakikisha tabia inazidi kuwa mbaya, tena ya kufisha!
Ni watu wenye akili timamu tu ndiyo watasalimika katika dunia ya sasa!
...haya bwana! Watu wakiambiwa kuna 'mapepo' wanakataa!
ReplyDeletehe wengine wamelala kwa kule juu..makubwa
ReplyDeleteZip hapa shurti iwe ya shaba mwanangu!Subiri,nkishalewa Kunde utakula wewe!chimung'unye wala chiteme!chimama wima nchale wa chingo!chuchumaa tachika nchanga!
ReplyDeleteWe uliesema "Wengine wamelala kwa kule juu" UMENICHEKESHA, the way you said it,funny.
ReplyDeleteKumbe hii ngoma ya TANGA? Jamani jamani....nyie semeni kwa mtaji huu mie lazima nifike Tanga mhmm mhh mhh!
ReplyDeletewamama wazimaaa ovyo!!
ReplyDeleteWhat is the beauty of it in public?
au ni kawafanya kaka zetu wajipe mtihani wa uvumilivu hadharani. Labda lengo ni kupim astamina za watu kwani hii inaonekana kabisa ni erotic dance.
hivi wenye kuweka mipaka ni kitengo gani serikalini?
Au mpaka wapewe semina na warsha elekezi iliyodhaminiwa na EU kule bagamoyo?
hilo limama limoja likimshika mumeo uondoke ukaombe ukimbizi uk, maana mumeo amekwisha kum babajua hapo ufanye kazi kweli kweli, au sivyo itakubidi ucheze kona zote free kiki zote na rafu zote unazozijua za duniani na bila kusahau tik taka ndipo mume atarudi.
ReplyDeleteHaya haya wadau watoto wapwani hao, mtu lazima amalize mshahara wake, na hilo Dikulu mbona haponi mtu. MWAPWANI
ReplyDelete