Home
Unlabelled
bajeti mwaka 1970
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wakati huo inaonesha bajeti ilikuwa ndogo maana hata mfuko unaashiria hivyo!Nchi ilikuwa na watu wachache,wizara chache,mafisadi hakuna, mambo swaaaaafi.Leo hii fuko la bajeti `nhinha',mijiwizara rundo,watu kedekede,mafisadi ndoo usiseme,halafu tunaota maendeleo! Yangu macho.
ReplyDeleteSee, enzi hizo watu wako decent,disciplined, educated and civilized. not these days, people are greedy like m****f****! hakuna heshma kama zamani, hakuna order! hakuna standard!! basi watu wapo tu! Enzi hizo down town Dar mambo yalikuwa saaafi sana, kila kitu kinafanya kazi kama kinavyotakiwa!, baada ya vita ya nduli Idi Amin tu, miaka 5 baadaye kasheshe likaanzia hapo!
ReplyDeleteThose times were the times of real budgets for the poor people, not now!!! is not it?
ReplyDeleteHEY YOU 7:04 JUNE 15 NINAAMINI ULIKUWA HAUJAZALIWA AU ULIKUWA MDOGO SANA. BAJETI ZA JAMAL ZILILENGA SANA WAAJIRIWA KWA KUWATOZA KODI KUBWA KULIKO WAFANYABIASHRA HIVYO KILA BAJETI ISOMWAPO WAFANYAKAZI WALIKUWA MATUMBO MOTO. JAMAL ALIKUWA AKIWALINDA WAASIA AMBAO WAKATI HUO NDIO WALIKUWA WAFANYABIASHRA PEKEE NCHINI NAYE AKIWA MUASIA MWENZAO. WAKATI HUO SERIKALI ILITEGEMEA SANA KODI ZA WAFANYAKAZI, BIA NA SIGARA HIVYO VYOTE HUTUMIWA ZAIDI NA WAFANYAKAZI AMBAO NI MASIKINI, WAKULIMA HAWAKUWEMO SANA NDANI YA BAJETI KWANI WAO WALITELEKEZWA HUKO MASHAMBANI BILA MSAADA WOWOTE. ila naipongeza serikali ya wakati huo kwa kutumia hizo PIJO KAMA USFIRI WA MAWAZIRI LICHA YA KUWEPO GARI KUBWA KAMA BENZI HUMBER NA VOLVO.
ReplyDeletewengi wa waliotoa maoni haya, wanabuni tu mlikuwa hata hamjazaliwa. You don't know the reality
ReplyDeleteAnon wa 8:49 ni mwongo. Bajeti ya enzi hizo haikuwa na unafuu wowote kwa wafanyabiashara eg corporate tax ilikuwa 50% miaka ya 70 wakati sasa hivi ni 30%. Halafu Kilimo kilitengewa bajeti kubwa siyo kama sasa 6%.
ReplyDeleteIla kinachonichefua ni huyu bwana Jamal nasikia alizikwa Canada badala ya Tz