Home
Unlabelled
banda la daily news na habari leo sullivan
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Eee bwana brother Michuzi ee.
ReplyDeleteHao ma binti ni wa kwenu daili nyuuz au ni 'Mamluki" mmewakodisha kutoka PR companies ili wapendezeshe banda?
Mbona sijawahi kuwaona hata siku moja pale ofisini kwenu?
Wanatega! hasa huyo mweupe huyo!
MICHUZI ACHENI USANII! SIJAONA MANTIKI YEYOTE YA NYINTI KUPELEKA WATU WA MAONYESHO HAPO ZAIDI YA KURIPOTI HABARI ZA MKUTANO HAPO AU MNADOWEA MATANGAZO YA BIASHARA?
ReplyDeleteMhh daily news naona uwakilishi ulikuwa si wa kubabaisha enheee.Sina la zaidi nadhani nimeeleweka
ReplyDeletePicha nzuri sana.Sitaki comment yoyote kuhusu hao akina dada wawili.Tuwe na adabu kidogo.Anko michu,wameshaolewa au naweza tupa ndoano?
ReplyDeletewoow wamependeza,ila hapo huwezi mujua mbongo nani mmarekani mweusi nani, nadhani TBC watakuwa wamevaa nguo zao za vitenge au batiki wakionyesha uhalisia.lol
ReplyDeleteMichuzi hao dada zako ungwafundisha mapozi ya picha kabla hujawachukua au hao ni wa Arusha tuuuuuuu
ReplyDeletebanda lenu limependeza, ila limezidi kupendeza kwa kuwa na madada warembo. Huyo dada mweupe, mmh! naona usafiri wa nguvu! Yuko single?? nimem-maindisha kinoma. Baadae nitarusha contact zangu either kwako au kwenye blogu, tuweze kuwasiliana.
ReplyDeletedada wa mbele ana miguu mizuri
ReplyDeleteKudadaddaddekkii walah....Duh
ReplyDeleteHuyo mtoto Munira namzimia sana Michu...
ReplyDeleteAna shepu nzuri na miguu balaa...
dada wa mbele ana miguu mizuri..mhaya nini?
ReplyDeleteMmmhhh wakware mimate ya uchu imeshawatoka. ndio maana wabongo tunanasa kirahisi na miwaya, hamjui kama wapo salama au vipi?. wengine namba mbaya shauri yenu. mdau Paka la jikoni-UK
ReplyDeleteembu acheni ufuska,commentini mambo ya maana!
ReplyDeletemiss keys
michuzi kwa makusudi, nyoooooooo!!!
ReplyDeleteNa wala sitoi comment yeyote kwamba hao mademu ni wa nguvu. Mh huyo mweupe kah! pata picha....yaani mwe!
Wahaya wana miguu RAkini hawana LAngi, so hapo hakuna muhaya waRA nini,mngsema wanachanganya L na R tungekubali....ila uongo mbaya madem hao ni bomba!!
ReplyDeleteAhsante Michuzi kwa kutuonyesha kwamba Bongo ni TambaLARE(RALEE), hasa katika sekta ya mademu na ulimbwende(NOTE: Ukimwi ni Costant jamani)
Naungana na mdau hapo juu kuwa Michu pse uwege unawafundisha wapigwa picha pozi za picha. Huyo wa mbele mimi naona kama alipigwa akiwa anataka kudondoka chini, I mean ile 'tap' akaanguka au nyie mnaonaje? Ila si mchezo watoto wamependeza, kwa mtaji huu wawekezaji lazima wamiminike hata kama lifti mbovu..
ReplyDeleteWe Miss Keys usimuonee wivu mwenzako tunavyomsifia.
ReplyDeleteMnyonge mnyongeni Haki yake mpeni babu enh!
We inaelekea una miguu kama fito ndio maana unaona wivu.
Loo!
Miss Keys waambie hao,mie nimesema weeeeee nimeshindwa.tehe tehe.
ReplyDeleteWabongo hamkosi la kusema mnashindwa kuchangia kwenye vitu vya maana lakini mkiona picha za wanawake maoni kibao yasiyokuwa na kichwa wala mguu,ongeeni vitu vya maana
ReplyDeleteanko mich, kwa kweli banda la TSN linapendeza,na ni gwiji wa habari nchini na kila idara iko makini. na hao mabinti ni walimbwende wako A town kikazi na sio kuuza sura nyie mnaokoment mambo yasiyo na maana inaonyesha jinsi gani mawazo yenu yalivyo mafupi.
ReplyDeleteIMETOLEWA PICHA YA BANDA LA DAILYNEWS NA HABARI LEO MIDUME INAWAZA NGONO NGONO TU!MICHUZI EBU POST 'SPICHI' YA OBASANJO ALIYOITOA JANA? WATU WATOE COMMENT ZA MAANA AU INYOFOE HIYO NGOMA.usinibanie,sitaki mtu awamendee hao akina dada.Ila mmhh....
ReplyDeletewewe anon 9:44 nyinyi ndio mnarudisha nyuma maendeleo ya jamii na nchi kiujumla,sasa kilichokufanya udhani nina wivu ni nini hasa?au sina miguu mizuri?kisa nimekwambia uongee kitu cha maana..sasa miguu yake huyo dada wewe yatakusaidia nini? naomba unikome
ReplyDeletemiss keys
Message kwa huyu dada mweupe, mimi ni anomy wa June 02, 2008 3:26 PM, naomba tuwasiliane, e-mail yangu ni mctz2000@yahoo.com
ReplyDeleteMMEPENDEZA SANAAAAAA
ReplyDeleteSWEET,
ARUSHA.
NI HAKI YENU KUWEPO HAPO!!!!! MMEPENDEZA SAAANA
ReplyDeletetumefunika media zote a-town tumewaonyesha kuwa sisi nizaidi na tunarusha gazeti kutoka a-town gurdian pole tuko juuuuuuuuuuuuuu juu zaidiiiiiiiiiiii nawakilisha msikasirike wapinzani habari ndio hiyo
ReplyDeletemizizi hapa
miss keys acha jazba, ala!!
ReplyDeleteHizo picha kwenye hilo banda mbona zimepangwa hovyo? Yaani TSN mmeshindwa hata kuweka fremu katika mpangilio wa kitanashati?
ReplyDelete