banda la daily news na habari leo kwenye mkutano wa sullivan. humo utakuta mapicha ya mastaa wote wa kimarekani waliotembelea bongo kama vile muhammad ali, michael jackson, james brown, sydney poitier, angela davies, harry belafonte na wengine kibao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 28 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2008

    Eee bwana brother Michuzi ee.
    Hao ma binti ni wa kwenu daili nyuuz au ni 'Mamluki" mmewakodisha kutoka PR companies ili wapendezeshe banda?
    Mbona sijawahi kuwaona hata siku moja pale ofisini kwenu?

    Wanatega! hasa huyo mweupe huyo!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2008

    MICHUZI ACHENI USANII! SIJAONA MANTIKI YEYOTE YA NYINTI KUPELEKA WATU WA MAONYESHO HAPO ZAIDI YA KURIPOTI HABARI ZA MKUTANO HAPO AU MNADOWEA MATANGAZO YA BIASHARA?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 02, 2008

    Mhh daily news naona uwakilishi ulikuwa si wa kubabaisha enheee.Sina la zaidi nadhani nimeeleweka

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 02, 2008

    Picha nzuri sana.Sitaki comment yoyote kuhusu hao akina dada wawili.Tuwe na adabu kidogo.Anko michu,wameshaolewa au naweza tupa ndoano?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 02, 2008

    woow wamependeza,ila hapo huwezi mujua mbongo nani mmarekani mweusi nani, nadhani TBC watakuwa wamevaa nguo zao za vitenge au batiki wakionyesha uhalisia.lol

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 02, 2008

    Michuzi hao dada zako ungwafundisha mapozi ya picha kabla hujawachukua au hao ni wa Arusha tuuuuuuu

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 02, 2008

    banda lenu limependeza, ila limezidi kupendeza kwa kuwa na madada warembo. Huyo dada mweupe, mmh! naona usafiri wa nguvu! Yuko single?? nimem-maindisha kinoma. Baadae nitarusha contact zangu either kwako au kwenye blogu, tuweze kuwasiliana.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 02, 2008

    dada wa mbele ana miguu mizuri

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 02, 2008

    Kudadaddaddekkii walah....Duh

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 02, 2008

    Huyo mtoto Munira namzimia sana Michu...
    Ana shepu nzuri na miguu balaa...

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 02, 2008

    dada wa mbele ana miguu mizuri..mhaya nini?

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 02, 2008

    Mmmhhh wakware mimate ya uchu imeshawatoka. ndio maana wabongo tunanasa kirahisi na miwaya, hamjui kama wapo salama au vipi?. wengine namba mbaya shauri yenu. mdau Paka la jikoni-UK

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 02, 2008

    embu acheni ufuska,commentini mambo ya maana!

    miss keys

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 02, 2008

    michuzi kwa makusudi, nyoooooooo!!!

    Na wala sitoi comment yeyote kwamba hao mademu ni wa nguvu. Mh huyo mweupe kah! pata picha....yaani mwe!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 03, 2008

    Wahaya wana miguu RAkini hawana LAngi, so hapo hakuna muhaya waRA nini,mngsema wanachanganya L na R tungekubali....ila uongo mbaya madem hao ni bomba!!
    Ahsante Michuzi kwa kutuonyesha kwamba Bongo ni TambaLARE(RALEE), hasa katika sekta ya mademu na ulimbwende(NOTE: Ukimwi ni Costant jamani)

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 03, 2008

    Naungana na mdau hapo juu kuwa Michu pse uwege unawafundisha wapigwa picha pozi za picha. Huyo wa mbele mimi naona kama alipigwa akiwa anataka kudondoka chini, I mean ile 'tap' akaanguka au nyie mnaonaje? Ila si mchezo watoto wamependeza, kwa mtaji huu wawekezaji lazima wamiminike hata kama lifti mbovu..

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 03, 2008

    We Miss Keys usimuonee wivu mwenzako tunavyomsifia.
    Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni babu enh!
    We inaelekea una miguu kama fito ndio maana unaona wivu.
    Loo!

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 03, 2008

    Miss Keys waambie hao,mie nimesema weeeeee nimeshindwa.tehe tehe.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 03, 2008

    Wabongo hamkosi la kusema mnashindwa kuchangia kwenye vitu vya maana lakini mkiona picha za wanawake maoni kibao yasiyokuwa na kichwa wala mguu,ongeeni vitu vya maana

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 03, 2008

    anko mich, kwa kweli banda la TSN linapendeza,na ni gwiji wa habari nchini na kila idara iko makini. na hao mabinti ni walimbwende wako A town kikazi na sio kuuza sura nyie mnaokoment mambo yasiyo na maana inaonyesha jinsi gani mawazo yenu yalivyo mafupi.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 03, 2008

    IMETOLEWA PICHA YA BANDA LA DAILYNEWS NA HABARI LEO MIDUME INAWAZA NGONO NGONO TU!MICHUZI EBU POST 'SPICHI' YA OBASANJO ALIYOITOA JANA? WATU WATOE COMMENT ZA MAANA AU INYOFOE HIYO NGOMA.usinibanie,sitaki mtu awamendee hao akina dada.Ila mmhh....

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 03, 2008

    wewe anon 9:44 nyinyi ndio mnarudisha nyuma maendeleo ya jamii na nchi kiujumla,sasa kilichokufanya udhani nina wivu ni nini hasa?au sina miguu mizuri?kisa nimekwambia uongee kitu cha maana..sasa miguu yake huyo dada wewe yatakusaidia nini? naomba unikome

    miss keys

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 03, 2008

    Message kwa huyu dada mweupe, mimi ni anomy wa June 02, 2008 3:26 PM, naomba tuwasiliane, e-mail yangu ni mctz2000@yahoo.com

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 03, 2008

    MMEPENDEZA SANAAAAAA
    SWEET,
    ARUSHA.

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 03, 2008

    NI HAKI YENU KUWEPO HAPO!!!!! MMEPENDEZA SAAANA

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 03, 2008

    tumefunika media zote a-town tumewaonyesha kuwa sisi nizaidi na tunarusha gazeti kutoka a-town gurdian pole tuko juuuuuuuuuuuuuu juu zaidiiiiiiiiiiii nawakilisha msikasirike wapinzani habari ndio hiyo
    mizizi hapa

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 03, 2008

    miss keys acha jazba, ala!!

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 05, 2008

    Hizo picha kwenye hilo banda mbona zimepangwa hovyo? Yaani TSN mmeshindwa hata kuweka fremu katika mpangilio wa kitanashati?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...