HABARI ZILIZOIFIKIA GLOBU HII YA JAMII SASA HIVI ZINASEMA WATU WANANE AMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA HELIKOPTA YA JESHI LA ULINZI ILIYOKUWA NJIANI IKITOKEAZ ARUSHA KUELEKEA DAR.
INASEMEKANA ABIRIA WAKE AMBAO BADO HAIJATHIBITISHWA KUWA NI RAIA AMA ASKARI WALIKUWA WANATOKEA ARUSHA KWENYE MKUTANO WA SULLIVAN.
INASEMEKANA WALIOKUFA NI ABIRIA SITA NA MARUBANI WAWILI WA HELIKOPTA HIYO.
HABARI KUTOKA KIKOSI CHA ANGA AMA AIRWING UKONGA IMETHIBITISHA HABARI HIYO NA TAYARI NDEGE IMEENDA ENEO LA TUKIO NA KWAMBA TAARIFA KAMILI ITATOLEWA BAADAYE
MY GOODNESS!!
ReplyDeleteMisupu kuna mtu mmoja aliwahi kukupa ushauri wa bure kwamba ukitoa habari ya kusikitisha kama hii usiandike kichwa cha habari BREAKING NYUUUUUUUZ kwa sababu inakuwa kama unatoa habari nzuri na za furaha badala yake uandike BREAKING NYUZ (NEWS)otherwise RIP wote waliofariki, Misupu hili onyo la mwisho usirudie tena nasema ohooo nitakuloga shauriyako!!!!
ReplyDeleteMwenyezi Mungu alaze Roho zao mahali pema peponi, Poleni wafiwa na wa-Tz wote....
ReplyDeleteEbwanaeeeeeeeeeeeeeeeeee! duuuuuuu!INASIKITISHA SANA
ReplyDeletemla vumbi kweli wewe nimeamini kwa kusikitika ni MLA VUMBI.. hujui uliongelealo. unaelewa maana ya breaking news. eti habari za kufurahisha,nani aliekufundisha hilo?? DONT TALK BOLOCKS
ReplyDeleteSensationalism (kiswahili?) ni chakula cha wana-habari, na Michuzzzziiii ni mwana habari. Kinacho-matta ni ile habari na tunaelewa kwamba mwandishi hashabikii bala amesssshtushwa!!!!
ReplyDeletewewe mla vumbic tuondolee pumba(mavumbi yako)
ReplyDeleteunajua journalism au unaisikia?
mithupu amekula nondoz za hii fani kwa hiyo hawezi kutushushia vumbi katika blog yetu.
Ni kweli unachosema Mlavumbi!
ReplyDeleteKichwa cha habari kina uzito mkubwa sana na kinabeba muudhui nzima ya habari.
Unapotuletea habari nzito kwa lengo la kututaarifu tayari umeshaacha ile kawaida ya libeneke au utani wa kiosha-kinywa; ila unageuka kuwa chombo cha habari, hasa kwa sisi tulio mbali na nyumbani.
Basi, tunaomba kichwa cha habari kiendane na uzito wa taarifa, yaani jambo zito kama vifo basi uandike bila utani, kwenye michezo kama Liverpool ikifungwa, basi chombeza utani hata kama itakuuma.
Asante!
Wewe anon June 09, 2008 6:48 umekurupuka na hujamuelewa Mlavumbi.
ReplyDeleteMlavumbi hajaongelea maana ya breaking news, nashangaa kwanini unamtukana. Mlavumbi anaongelea jinsi Michuzi alivyoandika hilo neno: ukiandika breaking nyuuuuzzz na breaking news ni mitindo tofauti ya uandishi, la kwanza lina masihara ndani yake na haliendani na habari ya vifo na la pili liko formal.
Mtake radhi Mlavumbi!
Ohh my God! Kweli mkutano utaondoka na watu wengi, kwani hata sisi wakati tunarudi jana toka huko Sullivan bwana Michuzi, tulikutana na ajali zaidi ya moja njiani kurudi Dar,moja pale Korogwe kwa Kombo katoto kaligongwa na kakafa hapo hapo..
ReplyDeletePoleni wafiwa! lol Sullivan meeting.
mwenyezi mungu awaweke pema peponi marehemu na awape faraja familia zao huu ni msiba mzito.familia ya mama mayenga(irene) na marehemu sinda
ReplyDeletenzehe
Ni watu sita sio nane kama ulivyoandika
ReplyDeleteJamani Mungu awalaze pema marehemu wote ila watu humu wanakurupuka sana alivyosema mlavumbi ni sahihi kabisa ile breaking nyuuuuuz ni kama kitu cha kufurahisha hata kwa kuitamka tu unahisi sio sahihi kutumia kwenye habari kama ya msiba. Ila ukiandika breaking nyuz inaleta maana zile zzzzzz za masihara. Najua Misupu ni binadamu wa kawaida na kukosea na kukosolewa ni kwa binadamu yeyote haijalishi yuko kwenye fani gani. hivyo kwa ushauri wa mla vumbi naungana nae musupu chonde badilisha hilo neno.
ReplyDeleteThis is very sad manake hii helikopta for the whole week wkt wa mkutano wa sullivan ilikuwa part and parcel of our town manake ilikwua ikipiga round throughout the day kuhakikisha usalama wa mji wa Arusha , halafu kusikia imeanguka na wamekufa wote waliokuwamo imenigusa sana tulishaizoea ni kama hata tulijua hao pilots , though at times watu walilalamika hii helikopta inasumbua manake ilikuwa inapita chini sana sana ila yote ni kazi ya Mungu. RIP Makamanda wetu!!!
ReplyDeleteThis is very sad manake hii helikopta for the whole week wkt wa mkutano wa sullivan ilikuwa part and parcel of our town manake ilikwua ikipiga round throughout the day kuhakikisha usalama wa mji wa Arusha , halafu kusikia imeanguka na wamekufa wote waliokuwamo imenigusa sana tulishaizoea ni kama hata tulijua hao pilots , though at times watu walilalamika hii helikopta inasumbua manake ilikuwa inapita chini sana sana ila yote ni kazi ya Mungu. RIP Makamanda wetu!!!
ReplyDeleteMichuzi
ReplyDeleteKwa mtazamo wangu nadhani hili neno " BREAKING NEWS" liende na mazingira ya tukio. Hivyo basi kama ni habari ya kawaida au ya kufurahisha basi ivute hivyo kama ulivyofanya hapo juu lakini kama ni habari ya masikitiko naona iandikwe tu "BREAKING NEWS"
Ni safari ya wote mbaya kutangulia.Mungu azilaze Roho zao mahali pema AMINA.
ReplyDeleteSweet,
Arusha.
RIP ndg zetu, mbele yenu nyume yetu, Mungu awape faraja wafiwa.
ReplyDeleteWEWE UNAEZUNGUMZIA HABARI MBAYA, HALAFU UNASEMA LOL SULLLIVAN MEETING, UNA KICHAA, UNAELEWA MAANA NA LOL?
lol = laughing out loud
ReplyDeletesasa wewe cutecathy u mean unacheka huu msiba! kwa kweli unashangaza
nakataa kumuomba radhi mlavumbi,because these are my opinions
Mla vumbi you have a point, raha ya humu ndani kuna vichaa, wasomi na waliokimbia umande. Pia wapo wajinga ambao hataki kutolewa ujinga na wengine wajinga ambao hawajui kama n wajinga naanza kuwalist, nyie ma'anon' wa June 11 5:52 PM, June 9 6:48, 7:42 wewe unayejiita Mpaka, hivi msichoelewa anchokieleza Mlavumbi ni nini? Boksi noma!!!
ReplyDelete