KIPINDI CHA PILI KIMEANZA DAKIKA TANO ZILIZOPITA NA GEMU LIMEANZA POLE POLE KWA KILA TIMU KUMSOMA MWENZIE. JK NAYE YUPO UWANJANI AKIWAONGOZA MAELFU YA WADAU KUWASHANGILIA TAIFA STARS

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2008

    Kweli leo ni leo ,Tunawaombeeni dua njema stars muweze kushinda leo.Cezeni kufa na kupona ili msifungwe mbele ya JK kwa kutambua hii ndiyo nafasi yetu ya mwisho ya kufufua matumaini ya kusonga mbelle .Itakuwa aibu mno kufungwa nyumbani tena,japo tunatambua mnacheza na vigogo wa soka afrika lakini kazeni buti mfanye maajabu .Tunawatakieni ushindi stars haijalishi uwe mwembamba au mnono .Muzungu Sweden

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 14, 2008

    wakikomaa itakuwa afadhali maana aibu kila siku why sisi tu
    Londonder
    Broadway

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 14, 2008

    Michuuuuuz big up mze wa mikonoooozzzzz maaana hili game nafuatilia kwa karibu kupitia hii globu yetu ya jamii na ninafurahi sana kama hadi dakika hii bado mambo si mabaya kama walivyotegemea walio wengi...!Mungu ibariki Taifa stars.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 14, 2008

    Michu ebu tu-update na mashambulizi yakoje hapo au ndo tunasindikiza eto'o,ila naomba muziki uende hivi hivi tu,Bongo droo inatosha kwa hao jamaa.
    Mdau,
    L'shi

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 14, 2008

    muzungu sweden wee lia tu, timu yako leo inanyolewa na spain, Torres, Silva, watacheza kama vile hawajawahi kumuona Zlatan, na yule mzee wenu Henke!Then kule kando tunae mzee SSENA! Jamaa ana uzito sawa na kivuko cha feri huyo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...