shangingi likiwa mtaroni baada ya kuipiga pasi vitara (chini) barabara ya bagamoyo usoni pa break point jana mchana
vitara ikiwa imepigwa pasi kwa mbele baada ya kupambana na shangingi hilo
kwa kudra ya Mwenyezi Mungu hakuna aliyejeruhiwa katika ajali hii ambayo ilihusisha pikapu ilopaki pembeni (chini)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2008

    Michu umesahau kidogo, Ni barabara ya bagamoyo rodi na sio barabara ya bagamoyo tu.

    Narekebisha.

    Mwalimu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2008

    HIVI WEWE UNAYEJIITA MWALIMU HAPO KABLA HUJAKIMBILIA KUJITIA KUMSAHIHISHA MHE. MICHUZI. SOMA KWANZA KWA MAKINI.
    ANAPOSEMA BARABARA YA BAGAMOYO. (kwa anayetaka kuweka english, basi atasema BAGAMOYO ROAD) KWAHIYO WALA HAJAKOSEA. huna ualimu wowoti utaandikaje BARABARA YA BAGAMOYO RODI? halafu angalia hiyo ROAD yako ulivyoiandika. Bora tu umeficha true identity yako maana ni aibu. Naona shule iliota majani, usitumie jina la mwalimu. unawaaibisha watu ambayo ni walimu kweli kweli.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 17, 2008

    Huwa nakuwa mvivu sana kutoa maoni, nafurahia zaidi kusoma vimbwanga vya watu, lakini we annony wa pili umenifanya niibuke.
    Huu mjadala wa lugha za hiki kijiji nadhani ulishafanyika na watu wakaelewa lugha ya wanakijiji hiki. Hata hivyo karibu katika katika blogger hii, na uwe tayari kusoma sana sentensi za aina hii kama barabara ya....rodi, my mke wako, nk. KARIBU, TEHE tehe!
    Mdau
    NL/DK

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 18, 2008

    Anony wa pili naona mgeni hapa kijijini..hiyo ni lugha yetu hapa..
    kama Mdau NL/DK anavyokueleza.

    Hapa utaona mambo kama "chuo kikuu cha Mlimani univasiti".. mai wife wake...nk

    Karibu sana mzee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...