Home
Unlabelled
mambo yako arizona agosti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
IS THAT(WOMAN PHOTO)FACE OF AFRICA??Mhh!Siku ya leo nilitaka nisitoe comment yoyote lakini ngoja nitoe kilicho moyoni mwangu.Ni kwamba....mm...me....chee....mmm..shaaa.............
ReplyDeleteWapi Cynthia Masasi?
ReplyDeletemcheck kwenye website yake www.cynthiamasasi.com
ReplyDeleteDah ....huyu si alitokeaga kwa michuzi na likofia flani kama mwizi???? Au nimekosea jamani?
ReplyDeletehalafu huyu demu anapenda sifa nyie hamjamjua
ReplyDeleteSpeech ya Obama inaonyesha jinsi gani huyu jamaa anaconvice wazungu kuwa rais. Sikiliza hapa uone alivyo na kipaji, hata aongeleapo mambo nyeti. ilikuwa leo katika fathers day
ReplyDeletehttp://cbs2chicago.com/topstories/Apostolic.Church.of.2.748790.html
Wewe anon wa 6 naona bado una fikra za miaka 1930.Hivi mgombea Urais wa marekani huwa ana-convince wazungu tu ama wananchi wote wa Marekani?
ReplyDeleteKama unavyosema Obama ana-convince wazungu,Je McCain ana-convince kina nani,wazungu wenzake,weusi,walatino,wa-asia ama?
Acha kelele huu ni uchaguzi ni wa Wamarekani wote si cha mweusi wala mweupe.Kichwa butu wewe.
too much money ....$35????? Na uchumi huu mh!!!!!!
ReplyDeleteHuyo ni Rachel Temu ndio huyo huyo alitokeaga kwenye Michuzi na kofia.
ReplyDeleteComment nyingine mbona huweki? Cynthia Masasi unaachia watu waweke comments wanavyotaka, huyu mbona huruhusu ziwekwe?
ReplyDeleteAu mnapeana?
We Mbigiri, kabla ya kumfokea anoni aliyetupa hiyo link na yenye hamasa kama za Nyerere ukimsikiliza Obama usikurupuke tu. ijue historia ya Marekani ndio uropoke. Uchaguzi wa Marekani ni mpaka mgombea mweusi kama Obama akubalike kwa Wazungu ndio ashinde. Hata kama weusi wote watampigia kura ni kazi bure. Ndio maana raisi mweusi Marekani hajatokea hata leo. Kamuulize Jesse jackson. Unahitaji kugangamala haswa ili ukubalike na weupe. uchaguzi wa Marekani unaendana na influence ya makundi. Hilo linajulikana na ndio maana kuna makundi kama kaukusis yanawekwa, na pia wayahudi na waongeao kispanish. Kila mtu ana point humu, kukandya kama vile msimamo wako pekee ndo sawa na tena si kwa nguvu ya hoja bali matusi ni kutopevuka kiakili. Jifunze kueleza nguvu za hoja. Kichwa butu we.
ReplyDeleteMbigiri angalia video kwenye hii link y OBAMA AHEAD IN EARLY POLLS, uone jinsi wenyewe wamarekani wanavyoonyesha polls kwa makundi, mfano WANAWAKE WEUPE, WAZEE WEUPE, VIJANA WEUSI. Siasa za Marekani si kama TZ kichwa butu we.
ReplyDelete