
Familia ya Ketang'enyi inawakaribisha ndugu, jamaa na marafiki katika misa ya kumbukumbu (Memorial Mass) ya Marehemu Baba Yetu Mpendwa, Nathaniel Marwa Ketang'enyi (pichani).
Misa itafanyika Jumamosi, Juni 21, 2008, kuanzia saa 1:30 usiku katika Kanisa la Katoliki la Mt. Camillus lililopo katika anwani ifuatayo:
St. Camillus Catholic Church,
St. Anthony Chapel,
1600 St. Camillus Drive,
Silver Spring,
MD 20903.
Baada ya misa, familia itajumuika na ndugu, jamaa na marafiki kwa ajili ya chakula cha usiku, katika kitongoji cha College Park kwenye anwani ifuatayo:
9412 Dew Berry Lane,
College Park,
MD 20784.
Maelekezo kuhusu uegesheji wa magari yatatolewa kanisani. Kwa maswali na maelekezo zaidi, tafadhali wasiliana kupitia simu zifuatazo:
267-809-5124,
202-203-8730,
240-988-5576,
301-916-5503.
Nyote Mnakaribishwa.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...