baada ya kukonga roho za wadau usiku wa miss tz UK wiki iliyopita ijumaa hii banana zahir ally zorro na afsa kazinja watapeleka 'presha' ukumbi maarufu wa club afrique ulioko canning town, london. hii ni kutokana na maombi ya wengi waliowakosa katika shoo ilopita na pia wale ambao hawakuwafaidi vilivyo siku ile ya siku. kazi kwenu wadau wa ukerewe...

hawa kina banana alikiba mbona wanaishia ukei tuuu us vipi hamjui kama us watu ndo wana hela zaidi tunahitaji mambo yenu sana hasa wewe alikiba ungejua kila kukicha tunavyocheza nyimbo zako ungefunga safari haraka sana kuja huku kutupa historia ya demu wako wa kigoma.
ReplyDeleteNa nyie uongozi wa Club Afrique muache tamaa zenu kwa Ali Kiba mliandika entry £10 tulipofika mlangoni tunaambiwa £15 sasa ni Banana na Hafsa mmetuandikia Entry £10 ila naamini yatakuwa kama ya Kiba. Tamaaaaaaa zenu wacheniiiii !!!!!
ReplyDeleteKweli kabisa huu uongozi wa club Afrique usilete usanii, kama kiingilio ni £10 na iwe hivyo sio kutuzingua kama walivyotufanyia siku ya Kiba.Mjumbe hauwawi.
ReplyDeleteNyie watu wa Us mnajidai mna hela umeona viingilio vyenu huko ni $10, huku Uk ni £10.Kwahio ona tofauti hapo
ReplyDeletenyie waungwana sio club afrique to hata basement pale tuliambiwa £10 kufika ikawa £15 mlangoni.zimetangazwa hadi kwenye posters ni £10,ila wanabadilisha bei.huu ni uongozi wa bongouk ndio tulalamike bwana!
ReplyDeletewewe anon 1 sijui unaongea pumba gani,eti us ndio wana hela zaidi.haya