
YES, Finally Here!
The Event You have been waiting in Mid-West's Finest,
COLUMBUS,
OHIO.
Wabongo's Official City Where Bashments the original Bashment was Born.
THE ULTIMATE 4TH OF JULY WEEKEND
July 3rd - July 6th.
3 Nights, 3 Different Venues,
3 Nights, 3 Different Venues,
Plenty of Daytime Activities,
Sports Events(Simba v/s Yanga), BBQ
BROUGHT TO YOU BYJ&T Ent.,
Oldies Gold Productions & Lups Ent.
FRIDAY JULY 4th,
MAISHA NIGHT @ COMFORT INN & SUITES,
1213 E. Dublin Granville RD,
Columbus,
OH 43229
Doors Open 10pm - 5am,
Cover $10
MAIN EVENT
Saturday July 5th,
OLD SKOOL PARTY @ THE GATHERING PLACE,
847 E. 11th Ave.
Columbus,
OH 43211
Doors Open @ 9pm - 7am,
Cover $10 B4 Midnight
Special Appearance By DJ Bonni Luv, T&T Jackson, surprise DJ from UK, and Own Zone The Mix Master Dj Luke....
Special Appearance By DJ Bonni Luv, T&T Jackson, surprise DJ from UK, and Own Zone The Mix Master Dj Luke....
For more Information -


OUT.Maximo amesaini mkataba mpya wa mwaka 1.
ReplyDeletemabishoo kazi kwenu maana rent hamtalipa ilimsikose nawashauri ndugu zangu khali mbaya .mwaka 2000 watu walishidwa rent sababu ya part mwaka huu ni mgumu zaidi na gas.....michuzi usikose kutuwekea picha za part pls enjoy
ReplyDeletewabongos bwana raha nyingi uwezo mdogo kama kawaida yetus.
ReplyDeletemaiko jaksoni njoo sitakiiii!
ReplyDeleteaise michu nimeona pale facebook umesema unaatend hii party umesha confirm kuwa unaenda?
kama kweli nitakutumia email kuna kitu nataka unichukulie pale samora avenue tutasawazisha mambo au siyo!
anonymous wa Tarehe June 19, 2008 2:22 PM acha kuwa na wivu wa kitoto waache watu na raha zao wazile kama wewe umezoea shida kula shida zako na mambo yako madogo you have to think,dream,talk,LOVE,then do BIG
ili u get it big ukifanya otherwise utakuwa small always
anon wa 2 wewe ndio ambae huna hela!...kakope basi!
ReplyDeleteMbona hakuna event yeyote siku ya Jumamosi mchana kama kwenda park hivi au BBQ? Sasa mnataka mchana tufanye nini. Sisi tuko wengi tunataka kuja ila wekeni activities za kutosha mida ya mchana pia.
ReplyDeletemalimbukeni tu nyie! sisi tutakuwepo ndani ya party..tutacheza,kunywa na kuvimbiwa..nyie na midomo yenu inayobwatuka mtabaki mmelala tu majumbani mwenu mnaota kulipa rent.
ReplyDeleteMaisha ni kujiachia eehhh jinsi utumiavyo ndio jinsi utakavyofikiria kutafuta nyingine...watakaohudhuria have much much fun i wish i could make....
ReplyDeleteLife is too short motherf***en...eat, drink coz tomorow u may die