Miss Dar City Center Sylvia Mashuda (katikati), mshindi wa pili Nelly Kamwelu (kulia) ambaye ni Miss Daily News, na wa tatu ni AnaJacqueline Jonathan baada ya kutangazwa katika shindano lililofanyika kwenye ukumbi wa Cine Club Dar es Salaam mwishoni mwa wiki
miss dar city centre 2008 sylvia mashuda akiwa na mama wa mitindo asia idarous na wadau wengine baada ya shindano hilo la kukata na shoka. ikumbukwe miss tz 2008 richa adhia alitoka kitongoji hiki na waandaaji wa hafla hii wana imani mshindi wao kufika mbali kwenye miss tz
meneja wa matangazo wa daily news na habari leo, felix mushi, na wasaidizi wake wakimkabidhi nelly kimwelu mfano wa hundi ya shilingi milioni moja ambayo ni zawadi yake kwa kwa kuibuka mshindi wa tuzo ya balozi wa tanzania standard newspapers (tsn) ambao walikuwa moja ya wadhamini wa miss dar city centre. kwa habari kamili bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2008

    hongera sylvia majaji wamefanya kazi nzuri.....ushauri wa bure kuwa miss sio sababu ya kutumika kama mamiss wengine wanavyofanya! you're young and beautiful focus on your goal....you know what i mean.......au vipi wadau!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2008

    habari michuzi,hivi huyo rashida wanjara achoki kuwa mpambe ehh kajiishia huyo dada pumzika tafuta mume akuweke ndanii ehh ehhh inakeraa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 17, 2008

    ana jacquline i know her very well..hongera galfriend

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...