Dear Michuzi,
Asante sana kwa mawasiliano ya haraka, ninashukuru sana.
Watu wafuatao ningependa kuwasiliana nao lakini sina contacts zao.
Yuda Shikimayi au Nico yeye ni msukuma tulikuwa naye South Africa 2002 - 2003 Kwazulu Natal ExperimentalCollege, Durban
Wa pili ni Boss Saristides Nyabange tulisoma naye Chuo cha UshirikaMoshi 1990-1992 ukiweza angalia kwenye yellow page TZ ana kakakeMororgoro pia anaitwa Nyabange ni mjita.

Wa tatu ni John ErastoNguruka (Malindi) naye tulisoma naye Moshi Cooperative College mzaliwawa Saragana Bunda.
Sina zaidi kwa leo.
Salaam kwa familia.
Joseph S. Machele,
http://www.macheles.com/
Sina zaidi kwa leo.
Salaam kwa familia.
Joseph S. Machele,
http://www.macheles.com/

yaani we unamtuma michuzi aangalie kwenye yellow page akupe contact za watu unaotafuta? huna ndugu bongo?
ReplyDeletepole sana michuzi aisee sikujua kazi yako ni ngumu na ya kibwege kiasi hiki
kazi ipo, au hii ilikuwa ni personal message umepost by mistake?
Cha kushangaza (kufurahisha) zaidi ni kwamba vilelezo ni makabila. Mmoja msukuma (and I know several dozens) mwingine Mjita (so many around Musoma and all over Majita). Why not try http://majitablog.com or http://sukumaland-search.org. I have been there and they are really helpful...
ReplyDeleteYEGO UTIKGO MWANA WA MALLANDO DANIEL MULUME, BENEDICT NYARUBWA (PHOTOGRAPHER, cinematographer 1968-2020 MUCCBOS ) NANSIO UK TAKUMENYA. O MUGASS WANNE ANAKUSALIMIA.pProf leo Donge kummenya
ReplyDeleteTgeofrey@gmail.com
TUMAINI GEOFREY
Huyo anayesema sina ndugu, je Issa Michuzi ni nani? Hebu acha ushamba. Na tayari kazi imekamilika. Nani kama Michuzi TZ? Makofi tafadhari.....
ReplyDelete