Dear Michuzi,
Asante sana kwa mawasiliano ya haraka, ninashukuru sana.
Watu wafuatao ningependa kuwasiliana nao lakini sina contacts zao.
Yuda Shikimayi au Nico
yeye ni msukuma tulikuwa naye South Africa 2002 - 2003 Kwazulu Natal ExperimentalCollege, Durban
Wa pili ni Boss Saristides Nyabange tulisoma naye Chuo cha UshirikaMoshi 1990-1992 ukiweza angalia kwenye yellow page TZ ana kakakeMororgoro pia anaitwa Nyabange ni mjita.
Wa tatu ni John ErastoNguruka (Malindi) naye tulisoma naye Moshi Cooperative College mzaliwawa Saragana Bunda.
Sina zaidi kwa leo.
Salaam kwa familia.
Joseph S. Machele,
http://www.macheles.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2008

    yaani we unamtuma michuzi aangalie kwenye yellow page akupe contact za watu unaotafuta? huna ndugu bongo?
    pole sana michuzi aisee sikujua kazi yako ni ngumu na ya kibwege kiasi hiki
    kazi ipo, au hii ilikuwa ni personal message umepost by mistake?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2008

    Cha kushangaza (kufurahisha) zaidi ni kwamba vilelezo ni makabila. Mmoja msukuma (and I know several dozens) mwingine Mjita (so many around Musoma and all over Majita). Why not try http://majitablog.com or http://sukumaland-search.org. I have been there and they are really helpful...

    ReplyDelete
  3. YEGO UTIKGO MWANA WA MALLANDO DANIEL MULUME, BENEDICT NYARUBWA (PHOTOGRAPHER, cinematographer 1968-2020 MUCCBOS ) NANSIO UK TAKUMENYA. O MUGASS WANNE ANAKUSALIMIA.pProf leo Donge kummenya
    Tgeofrey@gmail.com

    TUMAINI GEOFREY

    ReplyDelete
  4. Huyo anayesema sina ndugu, je Issa Michuzi ni nani? Hebu acha ushamba. Na tayari kazi imekamilika. Nani kama Michuzi TZ? Makofi tafadhari.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...