hapa ni njia panda ya segera ambapo matunda ya kila aina yapo bwelele kuashiria msimu umenza ambapo maembe, machungwa na machenza yametawala na kuuzwa kwa bei poa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2008

    HAYA JAMANI MSIMU WA MATUNDA HUOOO!!NA MSIMU WA KUHARA HUO!!MAANA WAUZAJI WENGINE WA MATUNDA WANAOSHA MATUNFA HATA NA MAJI YA CHOONI...JAMANI TUWE SANA WAANGALIFU,NA NYIE WAACHUUZI TAFADHA ANGALIENI AFYA ZETU.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2008

    Ona gari wanalo tumia wakina michuzi mhh kweli mafisadi wengi ata kama nila kazini still gari ni la thamani sana hilo lingemsomesha mtanzania mmoja huko vijijini mpaka anamaliza university

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2008

    Mnunuzi unatakiwa pia kuwa muangalifu. Siyo unafuna embe mara tu ukiinunua Samora...

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 10, 2008

    Aaah kinachoboa kwenye hayo machungwa ya segera na chalinze pamoja na mananasi ni tabia yao ya kuyachoma! Unaona kwa rangi tu yameiva mh menya na ulionje uone! Ni tabia mbaya sana na inawaharibia sana biashara! Wanahitaji kuelimishwa njia mbadala maana kwa miaka ya nyuma walikuwa wanauza matunda ya maana sana!Sijui nani kawadanganya!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 10, 2008

    UKIWA NA KIWANDA KIDOGO TU CHA KUSINDIKA MATUNDA UTATENGENEZA FWEZA. MAHAAKE HAPO MWEZI WA KUMI TU NJAA BWELELE/YAKUMWAGA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...