Home
Unlabelled
msimu wa matunda waanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HAYA JAMANI MSIMU WA MATUNDA HUOOO!!NA MSIMU WA KUHARA HUO!!MAANA WAUZAJI WENGINE WA MATUNDA WANAOSHA MATUNFA HATA NA MAJI YA CHOONI...JAMANI TUWE SANA WAANGALIFU,NA NYIE WAACHUUZI TAFADHA ANGALIENI AFYA ZETU.
ReplyDeleteOna gari wanalo tumia wakina michuzi mhh kweli mafisadi wengi ata kama nila kazini still gari ni la thamani sana hilo lingemsomesha mtanzania mmoja huko vijijini mpaka anamaliza university
ReplyDeleteMnunuzi unatakiwa pia kuwa muangalifu. Siyo unafuna embe mara tu ukiinunua Samora...
ReplyDeleteAaah kinachoboa kwenye hayo machungwa ya segera na chalinze pamoja na mananasi ni tabia yao ya kuyachoma! Unaona kwa rangi tu yameiva mh menya na ulionje uone! Ni tabia mbaya sana na inawaharibia sana biashara! Wanahitaji kuelimishwa njia mbadala maana kwa miaka ya nyuma walikuwa wanauza matunda ya maana sana!Sijui nani kawadanganya!
ReplyDeleteUKIWA NA KIWANDA KIDOGO TU CHA KUSINDIKA MATUNDA UTATENGENEZA FWEZA. MAHAAKE HAPO MWEZI WA KUMI TU NJAA BWELELE/YAKUMWAGA.
ReplyDelete