Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete na viongozi wengine wakiwa kwenye ukumbi wa African Dream, Area D mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa mkutano wa wabunge wote wa CCM na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM juni 15,2008. Vingozi hao kutoka kushoto ni Spika wa Bunge, Samwel Sitta, Katibi Mkuu wa CCM Mstaafu, Rashidi Kawawa, Mamamu Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar Aman Karume, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba na Makamu Mwenyeekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2008

    Na chenge alikuwepo?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2008

    HAWA NDIO WANAOJENGA NA KUILINDA BILLIONEARS CLUB. LONG LIVE MKUKUTA, LONG LIVE TAKUKURU SHETANI BLESS CCM.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 17, 2008

    jamani si walisema Makamba anaumwa hoi!!mbona namuona hapo??duniani kuna mambo....teh teh teh

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 17, 2008

    Yep, habari ndiyo hiyo!!
    Kila Budget ikisomwa lazima wafanye hivyo ili kuweka mikakati jinsi gani ya kuwatumia wawakilishi wa CCM bungeni ili walazimishe bajeti ipite bila kupingwa.
    Hali hiyo haijaanza leo ya kulazimisha budget. Ipo tangia enzi za awamu ya 3 lakini sasa ndio inashika kasi.
    Lakini kwa upande wangu naona haina haja ya kufanya hivyo kama kweli bugdet iliyopangwa ina NIA NA DHAMIRA YA KUWANUFAISHA WATANZANIA.
    La sivyo yatawakuta yaliyo wakuta wenzao wanne waliotangulia

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 17, 2008

    Aisee Bwashee,hawa jamaa siku zao zinahesabika hata wafanye nini.Labda waachane na huo 'uzi' wa Yanga wavae wa Simba.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 17, 2008

    iv kiongoz gan aliokuwa anaroga bungen,wadau nisaidien

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 18, 2008

    TAKUKURU
    A)Taasis yA..Kula Unachotaka..Kimbia..Usionekane..Ruksa..Ushaipata

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 18, 2008

    CCM wamezidi "kufisadi". Na kosa sio lao bali sisi tuliokubali huo ufisadi, watu ni viongozi tangu 1960's na hakuna kilichobadilika kwanini wasiondoke?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...