Home
Unlabelled
mzinga wa jumapili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michu umesahau kidogo, Ni barabara ya bagamoyo rodi na sio barabara ya bagamoyo tu.
ReplyDeleteNarekebisha.
Mwalimu
HIVI WEWE UNAYEJIITA MWALIMU HAPO KABLA HUJAKIMBILIA KUJITIA KUMSAHIHISHA MHE. MICHUZI. SOMA KWANZA KWA MAKINI.
ReplyDeleteANAPOSEMA BARABARA YA BAGAMOYO. (kwa anayetaka kuweka english, basi atasema BAGAMOYO ROAD) KWAHIYO WALA HAJAKOSEA. huna ualimu wowoti utaandikaje BARABARA YA BAGAMOYO RODI? halafu angalia hiyo ROAD yako ulivyoiandika. Bora tu umeficha true identity yako maana ni aibu. Naona shule iliota majani, usitumie jina la mwalimu. unawaaibisha watu ambayo ni walimu kweli kweli.
Huwa nakuwa mvivu sana kutoa maoni, nafurahia zaidi kusoma vimbwanga vya watu, lakini we annony wa pili umenifanya niibuke.
ReplyDeleteHuu mjadala wa lugha za hiki kijiji nadhani ulishafanyika na watu wakaelewa lugha ya wanakijiji hiki. Hata hivyo karibu katika katika blogger hii, na uwe tayari kusoma sana sentensi za aina hii kama barabara ya....rodi, my mke wako, nk. KARIBU, TEHE tehe!
Mdau
NL/DK
Anony wa pili naona mgeni hapa kijijini..hiyo ni lugha yetu hapa..
ReplyDeletekama Mdau NL/DK anavyokueleza.
Hapa utaona mambo kama "chuo kikuu cha Mlimani univasiti".. mai wife wake...nk
Karibu sana mzee