nakaaya sumary akivishwa waridi na mdau wa www.tanzaniaholticulture.com kwenye mabanda ya maonesho ya sullivan ambako bibie anayetamba na kibao cha 'mr politician' pia ni mshiriki akiwa analinda goli la banda la ist afrika mashariki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2008

    hilo uwaridi ndio tuzo?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2008

    huyu baba anaemvika ua what with the expression on the face?au amemtamani?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 03, 2008

    Mwanamke nywele babu!!! haya mambo ya kunyoa vipara wengine.....bora ninyamaze ili usiniweke kapuni.

    Michu...Usinitie kwenye dustbin yako

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 03, 2008

    Hivi mkipiga picha hakun amtu wa kuziedit? maanake huyo baba angeambiwa ameuma mdomo kama anapinda usukani wa leyland CD. Angerudia halafu afundishea kutabasamu hata kama misuli mingine ilikaza ghafla kule ICU ya binafsi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 03, 2008

    luking Gud bby gal...

    ParisGal

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 03, 2008

    kipara kinampendeza kweli

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 04, 2008

    wabongo mnachekesha, hivi huyu dada anajua maana ya madada kunyoa nywele namna hiyo au ananyoa tu!!! sehemu nyingine minyoo ya namna hiyo kwa madada ni sawa na tangazo la biashara...hivyo sielewi hata huko nako ndo maana yake!!!!!!. Kama ndio maana yake, du! Mungu, atusamehe watanzania tusiingiliwe na pepo hilo, tutapoteza utamaduni wetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...