Home
Unlabelled
nakaaya atuzwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hilo uwaridi ndio tuzo?
ReplyDeletehuyu baba anaemvika ua what with the expression on the face?au amemtamani?
ReplyDeleteMwanamke nywele babu!!! haya mambo ya kunyoa vipara wengine.....bora ninyamaze ili usiniweke kapuni.
ReplyDeleteMichu...Usinitie kwenye dustbin yako
Hivi mkipiga picha hakun amtu wa kuziedit? maanake huyo baba angeambiwa ameuma mdomo kama anapinda usukani wa leyland CD. Angerudia halafu afundishea kutabasamu hata kama misuli mingine ilikaza ghafla kule ICU ya binafsi.
ReplyDeleteluking Gud bby gal...
ReplyDeleteParisGal
kipara kinampendeza kweli
ReplyDeletewabongo mnachekesha, hivi huyu dada anajua maana ya madada kunyoa nywele namna hiyo au ananyoa tu!!! sehemu nyingine minyoo ya namna hiyo kwa madada ni sawa na tangazo la biashara...hivyo sielewi hata huko nako ndo maana yake!!!!!!. Kama ndio maana yake, du! Mungu, atusamehe watanzania tusiingiliwe na pepo hilo, tutapoteza utamaduni wetu.
ReplyDelete