Semina za Maendeleo na Jinsia


Unakaribishwa wiki hii katika mfululizo wa semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) ambapo Muhidini Issa Michuzi atatoa mada(Iliyokuwa ifanyike 28/05/2008) kuhusu;


UMUHIMU WA MITANDAO YA INTERNET KATIKA KUENDELEZA UANAHARAKATI NA UHAMSISHAJI WA MAWASILIANO!

Tarehe: 11/06/ 2008

Muda: 9:00 alasiri - 11:00 Jioni

Mahali: Viwanja vya TGNP mkabala na Chuo cha Usafirishaji.


Tafadhali thibitisha ushiriki wako kupitia
info@tgnp.org



Working Towards A Transformative Feminist and empowered Society where there is social gender equality, equity and economic justice

Karibuni Wote !!!!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2008

    Kaka Michu hiyo ndiyo njia ya kuanza kupanda ngazi. Unaanza kutoa mada, wakiona mkali utasikia umeteuliwa na labda ile ndoto ya Aprili First itakuwa ya kweli. Mungu akubariki.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 11, 2008

    Hapa Michuuz lazima uruke na PhD ya Blogging!Wait a minute,ngoja nizungumze na Uongozi wa TGNP mimi mwenyewe binafsi personally!You seeeee!Hii Bongo bwana.Tuelezeni Chai na Sambusa zitakuwepo wakati wa Break?Baelezee Konoooz ni mbinu tu ya Public Relations!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...