baadhi ya wahudumu wapya wa shirika la ndege la atc kwenye mahafali yao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 31 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2008

    apart from huyo (Pili Shoto)...wengine wote VINYAGO!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 09, 2008

    hey! second from left! will you get intouch i might have good news for you! please.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 09, 2008

    Je, kuna haja ya kutangaza hiyo sehemu ya kifua isiyofunikwa?

    watapigwa na ubaridi wa "eakandishina" na "eventuality" yake ni "nyumonia"!j

    Labda wakigawa chakula itabidi wavue hizo skafu zao; la sivyo zitagusa chakula!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 09, 2008

    tanzania lakini inajitahidi na ma-housegirl wao wa ndege.....hivi mmeshawaona wale wa southwest airline?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 09, 2008

    anonymous wa 12.50 pm, u need psychological help,. coz you are you are mentally sick. how could you use such a word to refer a human being. Inaelekea wewe ndo u kinyago ndo maana una attack watoto wa watu unecessarily. Sioni shida yoyote ya hawa mabinti, na after all hawagombei umiss. wako kazini. Kwanza wewe unachukia huenda hujawahi panda ndege na may be 'hutakaa upande ndege ndo maana una hasira kiasi hicho.
    Michuzi, how could you allow comments za kipuuzi kama hizi?
    rudisha heshima ya blog, hii wiki sijui umebanwa sana kazi hadi hupitii hizi comment, nakumbuka umetoa miguu ya wamama wa watu watu wakawatukana wee unaachia tu hali ya hewa inachafuliwa. au kile cha ku fliter matusi kimeondolewa kwenye pc yako. Omba msaada kwenye tuta watu wa IT wakurekebishie mambo. Vinginevyo Blog yako itakosa "mvuto" kama iliyokuwa nayo siku za nyuma, nikisema Mvuto kihapa ni heshima. Asante.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 09, 2008

    Wakina dada wote wanavutia, acheni kuponda wanawake wa kwenu, Wivu tu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 09, 2008

    Safari za mabasi mimi sasa basi!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 09, 2008

    Watu kwa matusi!!!!

    ReplyDelete
  9. FREQUENTLY FLIERS WAKATI WA KUPASHA MISULI NI HUU.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 09, 2008

    Hongereni wahitimu ingawa michuziumetubania chuo walichosomea(MICHUZI MIMI NDIYO YULE ANAYEKUPIGIA KELELE KILA CKU KWAMBA MAELEZO YAKO KWENYE PICHA YANAKUWA HAYATOSHI,WEWE UNACHUKULIA KILA MTU ANAIFAHAMU DAR/TANZANIA KAMA WEWE) .Wee Mtoa maoni namba moja acha kuwaita wenzio vinyago,ufusika tu unakusumbua,kuna akina kaka wangapi kwenye background?? wewe macho yako kwa watoto wa kike tu.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 09, 2008

    Kwa Anonymous wa June 09, 2008 12:50 AM:

    Binaadamu wote ni VINYAGO kwa sababu wote tumetengenezwa kwa udongo na soon miili yetu hurudi udongoni.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 09, 2008

    Kuzijua Ratiba za hawa Mabinti katika Ndege ndiyo kazi sasa,Itabidi mtu upande ndege za ATC kama Mchizzi vile!Njomba Achumani upo?Nasikia Michuuz ali attempt Konoooooooooooz ndani ya ndege kwa huyo hapo(?),eeeee bwana weeee!Akaambulia.....aaaaku....nakablogu kako hukohuko.....tehe tehe tehe !Vimwana wametulia jamani....kama unakisukari ama pressure....please..uchinchike konoooz hata mmoja...utachumbua watu ndani ya ndege!Chubiri npaka chini.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 09, 2008

    nje ya mada jamani kuna mtu yeyote yamemshamtokea?ukisafiri kutoka tanzania kwenda nchi yeyote ya nje hususan ulaya wafanyakazi wanavyoomba pesa.inatia aibu sana kuona jinsi unavyoombwa pesa pale airport.Au watatafuta sababu yoyote ya kukwambia kilo za mizigo yako zimezidi hivyo toa chochote ili mizigo yako iende.Jee kuna mtu yeyote yameshamtokea hayo?

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 09, 2008

    They look good! all the best in ur new career my fellow Tanzanians!

    Mdau,
    Gothenburg, Sweden.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 09, 2008

    Kwani ATC ina ndege ngapi hadi iwe na wahudumu wapya wengi hivyo?

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 09, 2008

    Wewe Anon una mwanzo kabisa unayesema hao wasichana ni vinyago ni muongo. Mama yako aliyekuzaa ndiye kinyago tena kinyago hasa. sijui baba yako alimwokota wapi kinyago huyo aliyekuzaa kinyago wewe.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 09, 2008

    Anon wa 12:10, Jun 9 yameshatutokea.. si mmoja. Nje ya mada lakini naungana na wewe.. mi nimeombwa pesa na wafanyakazi wote, kuanzia kukaguliwa mizigo, kuchukua begi, kugonga muhuri , na kukaguliwa tena (kule kwenye kuvua viatu) wote hao wameniomba 'chenji' eti dola zilizobaki baki.. khaa!
    Rafiki yangu safari iliyotangulia wamem'bomu' vile vile...
    Noma mno

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 09, 2008

    THEY ALL NEED SERIOUS MAKEOVER!!!!WOTE MVUTOLESS

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 09, 2008

    Anon wa 12:10 pm umesema kweli aisee jamaa mimi walisha nijaribu eti tuachie pound basi yaani hawana aibu kabisa. Wanatia aibu kinoma hasa wakigundua mmbongo ndio wanang'ang'ania kinoma. mi ilinitokea May Sehemu ya ukaguzi. jamaa alining'ang'ania kama ananidai.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 09, 2008

    wewe anon june 9th 4:28 USIJIFANYE UNAJUA SANA,FUNGUA BLOG YAKO AMBAYO HAITARUHUSU FREEDOM OF SPEECH AND WEKA SHERIA ZAKO. THIS IS MICHUZI BLOG- YOU-AND I REPEAT -YOU- CANT TELL HIM WHAT TO DO. watu wanaexpress feelings zao,kama wewe unaona ni kutukana kalale nyumbani usirudi tena humu!

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 09, 2008

    this is so funny especially because kuna vijitangazo na vipeperushi 'NO TIPS- HAKUNA BAKSHISHI KWA WAFANYAKAZI WA AIRPORT' bloody hell!!ni kwamba hawalipwi au?

    ReplyDelete
  22. Kwa hiyo na viatu navyo wananunuliwa na ofisi eeh ila inaonekana huyo mchaguzi wa viatu vyao ana mavidole mapana ka ma vitana ndo nini kuwavisha dada zetu viatu vipana hivyo kama kipande cha mkate tena karne hii!!!

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 09, 2008

    Anony wa 09june 1:38pm

    teh tih kih koh ihiii.....
    Kweli kabisa yani hujakosea hata kidogo.
    Kwani ni lazima kucomment kila jambo jamani?Kama huna cha kusema ni better kunyamaza tu na sio kutusi/kudharau wengine.
    Haiwezekani wadada wa watu wametulia then from nowhere unawaita vi****,kwanza ye mwenyewe mbona pua lake kubwa ka nanilii na watu tumemchunia tu,mi ata sikubali yeye ndo kinyago.

    Potz.

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 09, 2008

    Anon 12.10 yaani bwana nilifikiri ni mimi tu.

    Kuna polisi mmoja aliniita nikafikiri kuna shida ya usalama; sikuamini alipoomba pesa eti 'mzee sasa si uache hizo chenji za madafu hapa?'

    Na siku hiyo KLM ilichelewa na foleni ilikuwa kubwa kufika kwenye askari wa uhamiaji, nikakuta ni mmoja tu anahudumia huku joto na foleni ni ndefu, mwingine anacheza karata kwenye PC. Kusema kweli uvumilivu uliisha niliwapaka mno. Maana viwanja vya wenzetu wanajitahidi kupunguza foleni lakini sisi ndio kwaaanza tunacheza karata. Nilipomuuliza kwanini unacheza karata huku foleni ni ndefu, akadai eti watu hawako dirisha lake.

    Kwa kweli something need to be done pale. Na inabidi tuanze sisi wasafiri, akiomba pesa mpake kwa sauti. Mzigo wako ukizidi uzito usitoe pesa kabla isiyo halali maana wanabambika. Hivi unajua ukitoa pesa za hongo kwa ajili ya uzito unajiua mwenyewe maana dege likizidiwa uzito zali ni lako, yeye kipindi hicho yuko magomeni anakula bia kwa hela yako.

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 09, 2008

    WAMEPENDEZA SANA NA WANASTAHIKI KUPEWA HONGERA KWAZA NI WAZURI NA WAREFU WANA MILI YA WASTANI TUNAKUTANA MIZUNGU WAFANYAOKAZI KATIKA NDEGE WALA HAWANA UZURI WA KUWASHINDA HAO KUNADADA ZETU KWA KUWA NI WAZUNGU TU TUNAHILIBIKA NA WEUPE WAO NA MANUKATO NAKUPENI HONGERA KINA DADA MUNGU AKUPENI MAFANIKIO YENYE MEMA KATIKA KAZIZENU WALA MSIVUNJIKE MOJO KWA MANENO YA WATU WACHACHE WENYE CHOYO CHA MOYO (RIZIKI NI MAKHUSUMU KILA MJA FUNGU LAKE MMUNGU HUMSHUSHIA MJAWAKE KINYUME NA MAWZOYAKE )SIMWINGINE ISIPOKUWA KIJANA WA KI ZANZIBAR

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 09, 2008

    MBONA TUNAHANGAIKA KUTAFUTA WAGOMBEAJI WA ".MODELS." WAKATI WAWEZA ONGEA NA MMOJA KATI YA HAWA AKIKUBALI TU ".UNAMTANGAZA."

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 09, 2008

    Anon 12:10 you couldn't be more open.. hao wafanyakazi waa eapoti kwakweli wanaboa sana tena wanatia haibu. Mwaka jana ndege yetu ilivyotua, tena naenda kwenye msiba na sina mizigo, wacha waanze kuzungusha passport yangu huku na huku, na mwisho nikauliza tatizo ni nini na hapa nyumbani? Mfanyakazi mmoja bila haibu akasema, mzee tuachie hata dola 5 hatujala siku nzima. I was so mad, niliwatukana mpaka bosi wao akaitwa.
    Something very serious need to be done at our airport; vyoo vichafu tena siku nyingine nilipita nikakuta hakuna maji...

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 10, 2008

    Way to go ATC, they'll alluring. Especially the 2nd 4om left.....
    Mdau T-dot

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 10, 2008

    Watanzania tujifunze kuwa makini na yakini,tuwe focussed and relevant,tuwe articulate and immaculate,tu reflect utanzania wetu halisi,watu sensible,brave,courageous and brilliant etc.Hapa imetundikwa picha ya kina dada ma airhostess.Badala ya kutoa pongezi au kuzungumzia yatakayo husu maslahi ya kina airhostess watu wamehama na kuchagua eneo lingine kabisa la wahudumu wa milangoni na wakaguzi wa mabegi na vifurushi uwanja wa ndege.Now,this is not being intelligent,to say the least it is foolish.Vituko vya pale milangoni uwanja wa ndege vipo kila nchi na si Tanzania peke yake.Kinachotokea pale siyo policy ya kampuni iliyowaajiri au policy ya nchi bali ni tabia tu za watu binafsi walioshindwa kuficha madhila yao yanayowakabili kimaisha.Tabia hii ya kuchanganya issues ni dalili ya kuchanganyikiwa.Watu wa aina hii wanafanana sana na wale wenye tabia ya kubabaika wanapokutana na warembo.Mtu anapokutana na msichana aliyekuwa akimvutia sana kwa muda mrefu badala ya kwenda 'straight to the point'anaishiwa maneno na kupoteza kumbukumbu za yale aliyokusudia kuyazungumza na badala yake utamsikia akianza kuzungumzia kuhusu 'mabadiliko ya hali ya hewa,'aisee,leo mvua inaweza kunyesha,unaona mawingu yalivyotanda!Sijui mvua hii inatokea wapi,unajua miezi hii ni majira ya baridi kabisa,mvua inyeshe mwezi wa Juni huu ni uchuro huu,blah blah blah blah....'.Zungumzieni kuhusu hawa ma airhostess wetu walivyo wazuri...acheni blah blah zenu.Halafu na huyo aliyekazania kuwaita vinyago hana lolote anajigonga gonga bure!Beauty is in the eye the beholder.Wewe ukisema ana nini mwenzako anasema atampata lini.So,chunga sana ulimi wako kijana.Katika kila alisemalo mtu,huwa anajitambulisha undani wake.Unaweza kuitambua tabia ya mtu kwa kuyasoma tu maandiko yake na hisia zake.Utamjua mstaarabu ni yupi na mshenzi ni yupi.Poleni sana kwa wale wanaothamini uzuri wa 'Majini'.

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 10, 2008

    Dada Zangu wa ATCL;

    Kwanza
    Nawapongeza kwa kuhitimu mafunzo na hivyo kijihakikishia kazi na kwa hiyo kujihakikishia maisha na kwa kweli utu wenu, kwa sababu hamtakuwa na ulazima wa kuwaabudu waume zenu au marafiki zenu wa kiume.

    Pili;
    Dharauni matusi ya wachangiaji wengine, kwa sababu moja hao nadra kweli watakuwa wateja wenu, wateja wa ndege especially regular traveller hawana huo upuuzi!

    Tatu;
    Hiyo kazi ni ya heshima, kwa kuwa mkifanya kazi vizuri mwaweza ajiri na shirika lolote la ndege la kimataifa.

    Nne;
    Heshimuni kazi yenu...

    Tano;
    Mungu awabariki, Mungu aibariki ATCL na Mungu Ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  31. AnonymousJune 10, 2008

    WEYE MSHAMBA UNAYEMSHAMBULIA MICHUZI. YOU NEED TO GET A LIFE. THIS IS A WORLDWIDE BLOG, INAYOHESHIMIKA NA KUTEMBELEWA NA WATU DUNIA NZIMA. NA MICHUZI KNOWS KAMA BLOG ZA NCHI ZA WENZETU ZILIZOENDELEA UNARUHUSIWA (FREEDOM OF SPEECH) KAMA ALIVYONENEA MUUNGWANA MMOJA JUU HAPO. KAMA KU-EXPRESS FEELINGS ZAKO WEYE UNAITA MATUSI, BASI MBONI KAZI KUBWA UNAYO NA FAMILIA YAKO. FUNGUA BLOG YAKO. NA USIINGIE HUMU. MICHUZI ANA MAMILIONI YA WAPENZI WA BLOG YAKE. NA HANA TATIZO LA FILTER KATIKA COMPUTER YAKE KWANI HAJACHACHA ANA LATEST COMPUTERS AND ALL LATEST EQUIPMENTS IN HIS OFFICE. GO AND VISIT HIS OFFICE AND YOU WILL FART.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...