msosi wa nguvu wa vyakula vya kiasili (brenda fassie, kichuri, vibambala, upuuzi wa mfalme, makange, magege, kambale satto bila kusahau mbojhu na senene) na vilaji si vya kuuliza maana ni jadi ya break point iwe ya kijitonyama, udassa ama ifm restaurant ama buffet park nairobi kwa watani wa jadi na matongee ya mjini ya a-taun, kwa gado wa reading ya ukerewe na la kairo mwanza na pia guangdzhou break point, china - hii yote itakuwa ni kama ulikuwa hujui yote hiyo ni katika mnyororo wa migahawa ya break point...
Home
Unlabelled
break point ya mjini yapigwa sopusopu!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ha..ha..ha Michuzi we kiboko! Huu "upuuzi wa mfalme" ndio msosi gani? Ebu tufahamishe tusije kwenda Break Point na kufanya order kisha kukashindwa kula!!
ReplyDeletekaka Michuzi una hisa hapa nini au hao jamaa ndiyo wanaotufanya tujadiane bure humu? Jamaaa umewafagilia sana na siyo mara ya kwanza kuona jinsi unavyowaosha hawa jamaa na migahawa yao katika hii blog. teheee!!! teheee!!! teheee!!!
ReplyDeleteAcha jamaa apete maana he is hard working and committed. Wenye wivu mjinyonge. Katoka na "Upuuzi wa Mfalme" sasa subirini "Ujinga wa Sultani".
ReplyDelete