Dj Bonny Luv mwenye washabiki wengi ndani na nje ya bongo,atafanya onyesho la mwisho jumamosi hii july 26 kwenye klabu moja maarufu silver spring, Maryland, inayojulikana kama The Gallery.
Akiongea kwa njia ya simu na glob ya jamii,dj Bonny amesema safari yangu ya marekani ilikua nzuri na nimepokewa vizuri na washabiki wangu kwa hiyo si vizuri kuondoka bila kusema asante,najua muda ni mfupi washabiki wangu marekani jitahidi kuja
the Gallery Silver spring,
1115 East West Hwy,
Silver Spring Md 20910
si vizuri kuondoka bila kuwaachia kazawadi,najua nitakua sijamaliza kiu yenu kwa sababu ya mtafaruku uliotokea wa oldskool bash Columbus Ohio,nawaahidi Mungu akipenda tutaonana mwakani.
hii jumamosi nitaiita "A NIGHT TO REMEMBER"fika usuuzike na roho yako.
Visit website at
Visit website at
www.gallerysilverspring.com
Mh...Silver Spring haiko Newala..iko Maryland!
ReplyDeleteSasa mbona kichwa cha habari kinasema itakuwa NY lkn address unatupa ya MD? au ndo ktk kufanya tukukumbuke vizuri? teh teh teh!!!
ReplyDeletetafadhari sana katika party hii ya mwisho please hakuna majungu,ooh sijui nani kaleta biashara yake hapa, baada ya wateja kumkimbia. oo! sijui mali hainunuliwi hatutaki hayo, hapa ni starehe tu.
ReplyDeleteNow you are talking...Gallery is a nice club...du at last bora uondoke na dignity yako.
ReplyDeletemalongo ni wewe kweli? nakuona kwa mbali umevaa black and white si mchezo baba yake, yangu macho mwanawane.mdau wa canada hapa.
ReplyDelete