juu dj bonny luv akifanya mavitu yake na chini wadau wa washington dc wakiburudika

Dj Bonny Luv mwenye washabiki wengi ndani na nje ya bongo,atafanya onyesho la mwisho jumamosi hii july 26 kwenye klabu moja maarufu silver spring, Maryland, inayojulikana kama The Gallery.
Akiongea kwa njia ya simu na glob ya jamii,dj Bonny amesema safari yangu ya marekani ilikua nzuri na nimepokewa vizuri na washabiki wangu kwa hiyo si vizuri kuondoka bila kusema asante,najua muda ni mfupi washabiki wangu marekani jitahidi kuja
the Gallery Silver spring,
1115 East West Hwy,
Silver Spring Md 20910
si vizuri kuondoka bila kuwaachia kazawadi,najua nitakua sijamaliza kiu yenu kwa sababu ya mtafaruku uliotokea wa oldskool bash Columbus Ohio,nawaahidi Mungu akipenda tutaonana mwakani.
hii jumamosi nitaiita "A NIGHT TO REMEMBER"fika usuuzike na roho yako.

Visit website at
www.gallerysilverspring.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2008

    Mh...Silver Spring haiko Newala..iko Maryland!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2008

    Sasa mbona kichwa cha habari kinasema itakuwa NY lkn address unatupa ya MD? au ndo ktk kufanya tukukumbuke vizuri? teh teh teh!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 24, 2008

    tafadhari sana katika party hii ya mwisho please hakuna majungu,ooh sijui nani kaleta biashara yake hapa, baada ya wateja kumkimbia. oo! sijui mali hainunuliwi hatutaki hayo, hapa ni starehe tu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 24, 2008

    Now you are talking...Gallery is a nice club...du at last bora uondoke na dignity yako.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 25, 2008

    malongo ni wewe kweli? nakuona kwa mbali umevaa black and white si mchezo baba yake, yangu macho mwanawane.mdau wa canada hapa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...