mchana huu tumetoka kumzika mzee abdallah, baba mzazi wa mchambuzi maarufu wa soka nchini, dk. liki abdallah na kepteni azizi abdallah, kwenye makaburi ya kisutu. mzee abdallah amefariki jana nyumbani kwake ilala shariff shamba
dk. liki (pili shoto) akiwa na ndugu, jamaa na marafiki baada ya mazishi

dk. liki abdallah akiongozana na anko kabombe (shoto) na faza muti baada ya mazishi leo
dua wakati wa mazishi ya mzee abdallah


bitebo akimpa pole dk. liki. hawa ni ndugu wa karibu na wamekua pamoja
mkuu wa nanihii ya nanihii alikuwepo kuwawakilisha wadau wa globu ya jamii kwenye mazishi




dr liki akipewa pole na mchezaji mkongwe wa soka enzi hizo rashid seif (kati) na mdau mwingine





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2008

    Michuzi hiyo fulana inanifurahisha sana.
    Tuwasiliane nikutafutie mfadhili akutengenezee kama hizi 100 aweke lebo yake halafu awe anakulipa.Tehe tehe tehe

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2008

    Naomba unisaidie number ya simu ya Dr. Liki Abdalah ili niweze kumpa pole

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2008

    Braza Michu,jina kamili la Dr.Liki ni Abdulhaliq Abdallah.Liki ni kifupisho cha herufi tatu za mwisho la jina lake la kwanza,yaani Liq. (mdau wa Kariakoo).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...